Morogoro: Watu 22 Wamefariki dunia kwenye ajali ya Basi la Ahmed linalofanya safari kati ya Tanga-Mbeya. Limegongana na Lori

Mbna uko speed hvyo mkuu embu tuliaa kaa chini tulia andika vzr

Huku atutafuti likes Wal ripota mzuri sas bas Kama unataka kuleta taarifa tuliaa kaa chini andika kwa ufasaa
Kuna shida akiwa speed ndugu. Vitu vingne ni vya kujiongeza sisi wenywew tarifa Kama HYo Huwa na updates so si vyema kumkosoa mtoa hoja, Kuna MTU akisikia HYo gar imepata ajar kwake inatosha coz yawezkana ana ndugu au rafiki.
 
Mbna uko speed hvyo mkuu embu tuliaa kaa chini tulia andika vzr

Huku atutafuti likes Wal ripota mzuri sas bas Kama unataka kuleta taarifa tuliaa kaa chini andika kwa ufasaa
unapopata breaking news inakusaidia hata kama wewe una ndugu anasafiri kujaribu kufuatilia sio lazima kila kitu akuletee yeye, je kama na yeye alikuwa kwenye basi anasafiri asimamishe basi ili akuletee habari kamili?

wengine inafikia hata kutaka picha alafu mkiwekewa picha mnaanza kulaumu picha zinatisha ondoa.
 
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Muda huu redio one wametangaza ajari hiyo.. inasemekana watu 13 wamepoteza maisha papo hapo..marehemu wapumzike kwa amani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…