Morogoro: Watu 22 Wamefariki dunia kwenye ajali ya Basi la Ahmed linalofanya safari kati ya Tanga-Mbeya. Limegongana na Lori

...Njia ya Goba kuingia Morogoro Road inajengwa Fly-over??
 
Mkuu kuendelea kubishana na huyu kihiyo atakuumiza kichwa, sisi tunaotumia hii T1 ndio tunajua uhalisi wa barabara hii,hii T1 imepitwa na wakati, hii njia imejengwa in 60s!imeshachoka mno na tanroads wanachokifanya ni kutia viraka tu, angalia Ile miteremko ya mlima Nooka pale Mbeya ni uchafu mtupu, Mbeya to tunduma ni death traps, kitonga pass ni road hazard, mikumi national park ni ovyo kabisa na matuta yao ya kiajabu
 
Mkuu unavyosema wanakaa katikati kuna Sheria yoyote inayomtaka mwendesha pikipiki akae pembeni? Mila MTU ana haki kutumia barabara haijalishi mwendesha baiskeli au guta, kuna mazingira ambayo huwa hi uzembe kama hiyo ajali hapo dhahiri ukiachana na shida ya barabara zetu kuna uzembe mwingi si madereva wa magari wala pikipiki, isitoshe madereva wangekuwa na utashi pale kwenye usukani hayo Mambo yangepungua Sana shida na wao kujali uhai wao pia. Nadhani unajua fika how IT car are driven haijalishi gari ya ukubwa gani same as buses, majority bodaboda pia Ila huwezi sema pikipiki kasababisha hiyo ajali na kusema Bora wangegongwa wao, angalia hizo picha vizuri hiyo crash inaonyesha wote bus and IT walikuwa kwenye speed kubwa Sana.
Kila mtu azingatie Sheria za barabarani na kufanya maamuzi sahihi awapo barabarani.
 
...Ukute hapo madereva wote wawili walikuwa wangu wangu ndio maana wakashindwa hata kujiokoa na kuwaokoa wengine kwa hata kupeleka gari porini!
Mbeya to Dar ni kama 800km,huu ni mendoza wa 10hrs kwa bus!,Dar to tunduma ni kama 1000km huu ni mwendo wa less than 12hrs kwa bus(wakati T1 ipo Safi bus ya Scandinavia ya Dar to Lusaka ilikua inavuka border the same day, Leo Sauli inaingia border saa 20h00 umbali ule ule, TATIZO BARABARA),speed sio factor pekee na vihiyo wengi wameaminishwa hivyo!
 
Maelezo mengi wakati ukweli hakuna, elewa T1 ni freeway, bodaboda hatakiwi kuwa in a freeway!,ni motorcycle zenye cc kubwa ndio zinatakiwa kuwa kwenye freeway na nyingi Zina speed zaidi ya gari, pedestrian, mifugo havitakiwi kwenye highways
 
Umepewa ukweli mchungu... nyakati za yule Fashisti media ilikua controlled kiasi kwamba wapumbavu wengi wa bongo walijiona wako ulaya. Huo ndo ukweli lakini madudu yalikua mengi kuliko uhalisia wake.
Uzuri ni kwamba mnacoment huku moyoni mnajua ukweli.

Sasa hivi hatuhangaiki na wapumbavu ila muda utasema,!

Msifikiri kila mtu amejaza tope kichwni kama mlivyo nyie wajinga wachache

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Kila mtu ana Hakj na Barabara, sawa. Mbona wewe mwenda kwa miguu hutembei kati kati ya Barabara??
 
Ninchofurahi ni kwamba mnaumia sana na mnakibarua kizito sana cha kuwaaminisha watu kitu ambacho wamekataa kukiamini!

Nyie wapumbavu tunawajua hakuna zuri lolote mlilowahi kuliona kwa Magufuli!

Hata hivyo hakuna shida sababu kila mtu anaona. Na tulioko huku field tunaona kila kitu, wapumbavu wachache mtateseka sana! Ulionaje kwanza juzi watu walivyomlilia kipenzi chao?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Maelezo mengi wakati ukweli hakuna, elewa T1 ni freeway, bodaboda hatakiwi kuwa in a freeway!,ni motorcycle zenye cc kubwa ndio zinatakiwa kuwa kwenye freeway na nyingi Zina speed zaidi ya gari, pedestrian, mifugo havitakiwi kwenye highways
Mkuu T1 zetu na maisha yetu nadhani unafahamu hao ng'ombe watapita hata pikipiki with cc ndogo, issue ni kwamba hiyo ajali ni uzembe Kati ya bus na IT.
 
Halafu hapo sangasanga kuna traffic wanakagua sasa sijui imekuweje dereva unatoka speed kali ukizingatia umeishaingia mkoani.
 
Maelezo mengi wakati ukweli hakuna, elewa T1 ni freeway, bodaboda hatakiwi kuwa in a freeway!,ni motorcycle zenye cc kubwa ndio zinatakiwa kuwa kwenye freeway na nyingi Zina speed zaidi ya gari, pedestrian, mifugo havitakiwi kwenye highways
Asante kwa kunisaidia....


Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Nikiangalia video inaonesha dereva wa basi alikuwa anatafuta option B yaani alihama kwake sasa na wa lori inaonekana akawa anarudi wakakutana.
 
Kama ukisoma kwa makini utaona nimepoint out suala la speed...
Ila bodaboda ni shida....kwa namna yoyote ikibidi mkaange yeye...
Personally nitafanya hivyo

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Nipo Morogoro Usemalo Wala Siyo Kweli
Hao Akina Sauli Huwa Wanatanguliwa
 
Kwa mahesabu yangu ya haraka haraka hii basi huwa inaingia tanga saa tatu au nne usiku.
 
Unakimbilia wapi?
Kaa chini andika vizuri?
Gari gani?
Mzumbe ya wapi?
Morogoro au mbeya?
Mbona kaandika vizuri na habari umeeleweka. Ametaja magari yaliyo gongana, eneo la ajali na athari zilizojitokeza. Sasa wewe ulitaka akuchoree na ramani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…