Pamoja na mwendo kasi huyu dereva wa lori alikosea sana kumkwepa bodaboda.....hawa bodaboda wana tabia ya kukaa katikati kama gari na wamekuwa chanzo cha matatizo sana ukizingatia pia hawana shule ni bomu kubwa.
Ushauri wangu kwa madereva mwendo kasi unaua jamani....wazungu sio wajinga kusema hivyo kwani ndio waliotengeneza hayo machuma.
Pia ukiona bodaboda analeta zake mkanyage yeye..ikibidi mtoe utumbo kabisa...huyu dereva wa lori angefanya hivi tungekuwa tunaongea mengine na si watu zaidi ya 22.
Sent from my SM-J610F using
JamiiForums mobile app