Mkulima Jr
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 224
- 246
Rest In Piece, poleni sana wafiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepewa ukweli mchungu... nyakati za yule Fashisti media ilikua controlled kiasi kwamba wapumbavu wengi wa bongo walijiona wako ulaya. Huo ndo ukweli lakini madudu yalikua mengi kuliko uhalisia wake.Endelea kushangilia ujinga huku ukifikiri unamkomoa Magufuli!
Suala la uzembe barabarani linatakiwa kukemewa kwa ukali siyo kuacha mambo yajiendee tu!
Ajali zilipungua sana tena sana,. kwamba zilikuwa zinatokea alafu watu hawatangazi hayo ni madai ya kipumbavu sawa na yale kwamba umeme ulikuwa unakatika ila wanaficha!
Endelea kutetea ujinga soon utasomwa humu kwamba ni miongoni mwa watu kadhaa waliokufa kwa uzembe wa barabarani.
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Watu kama hawa saa nyingine ni kuwasamehe bure , hawana exposure na hata ile common sense tu hawataki kuitumia , watu wanadhani maendelo yanakuja kwa kuongea tu, bila actions.Umepewa ukweli mchungu... nyakati za yule Fashisti media ilikua controlled kiasi kwamba wapumbavu wengi wa bongo walijiona wako ulaya. Huo ndo ukweli lakini madudu yalikua mengi kuliko uhalisia wake.
Cha ajabu wakati yule fashisti akihubiri falacies zake wengi wa hawa brainwashed lunatics walishindwa kuhoji hata vitu dhahiri, mtu anasema serikali yake tajiri ilhali hakuwai pandisha mishahara wala project kutumia pesa za ndani zaidi ya mikopo.Watu kama hawa saa nyingine ni kuwasamehe bure , hawana exposure na hata ile common sense tu hawataki kuitumia , watu wanadhani maendelo yanakuja kwa kuongea tu, bila actions.
Wakati barabara ya kimara inajengwa nilikuwa nina wasiwasi sana jinsi barabara ya kutoka goba itakavyokuwa sunbufu kwa plan yao ya kukatisha T1, humu kuna watu kama huyu walikuja kupinga kwa nguvu zote ,
Leo hii Tanroad anafanya exactly nilichoshauri kwa kujenga overpass mbili maeneo hayo hayo,
Hizi lawama nyingine bila kujua chanzo cha ajari si sawa!!ni kweli inaonekana magari yote mawili yalikuwa kwenye spidi kubwa lakini mwenye makosa ni mwenye lori aliovatake bila kuchukua tahadhari ndio akakutana uso kwa macho na basi hilo likiwa upande wake!!bila kupepesa macho dereva anaonekana alikuwa speed akashindwa kuongoza basi, kama amepona aondolewe uhalali wa kuendesha usafiri wa umma akaendeshe gari lake nyumbani.
Intransit zote Zinakatiwa bima ya wiki 1Hata haliajaanza kutumika rasmi tayri limepata ajali cjui bima Huwa inahusika. R.IP wote
Kuanzia mikumi-doma hadi unafika sangasanga..ni mwendo mdundo tu barabara imetulia barabara...fresh..hapi kutakya na uzembe wa mtu mmoja tu...Hadi tutakapoamua kuukubali ukweli!!
Chanzo kukubwa cha ajali za Tanzania ni ubovu wa miundombinu na si mwendokasi kama tunavyoaminishwa na mamlaka za juu.
Head on collisions hata tupunguze speed limit iwe 40km/h bado kuna sehemu korofi zitasumbua
Mwendokasi ni hatariIli basi nimepanda mwezi wa kwanza lilikuwa linatembea baaalah yaaani mpaka morogoro tupo nyuma ya sauli all in all R I P
Alivyo muongo atatudanganya tena kwamba ana ushahidi mwingi wa hiyo ajali kabla na baada ya kutokea.
Aisee unataka aandike Hpa jamii forum Kwa akaunti yake au...pitia thread utaiona kma shida ni salaam...Morogoro: Watu 22 Wamefariki dunia kwenye ajali ya Basi la Ahmed linalofanya safari kati ya Tanga-Mbeya. Limegongana na Lori….. Hatuoni salam za Rambi Rambi kutoka kwa mkuu wa chini? Hapa pana shida ndugu zangu .
Pamoja na mwendo kasi huyu dereva wa lori alikosea sana kumkwepa bodaboda.....hawa bodaboda wana tabia ya kukaa katikati kama gari na wamekuwa chanzo cha matatizo sana ukizingatia pia hawana shule ni bomu kubwa.Unamkwepa mwendesha pikipiki labda kabeba watu wawili halafu unaparamia bus unaua watu 22+
Hii ni akili au tope?
BTW:Hivi hayo magari ya IT hukatiwa bima kabla ya safari?
Hilo gari ni left hand, akihama haoni mbele kirahisi. Angemuua boda angeuawa. Wa basi naye kaja kajaaAjali mbaya sana, eti dereva wa lori alihama ku overtake bodaboda..........hawa madereva wanyoa viduku ni shida, anataka kuendesha lori kama gari ndogo ya kutembelea, unaendesha lori una overtake bila kuwa na uhakika na gari zinazokuja kutokea mbele.