Morogoro: Watumishi wa Umma Walazimishwa kwenda kwenye mkutano wa Rais Samia leo hii

Huo ujinga sifanyi, dadeeeeeeeeeeeeki
 
Sijasoma nikamaliza lakini najua hao watumishi watakuwa ni walimu.Maana walimu ni toile papers ya ccm na wao walishakubali hilo.
 
Kwanza Watumishi Huwa tunapenda viongozi wa kitaifa waje Kwa sababu tunapata off ila wakija wale wengine Huwa ni hasara hatutoki 😁😁
 
Fake Mafuriko😆😆😆
 
Hata hivyo,CCM ndo inatuweka mjini....mdomo mtupu haulambwi
 
Reactions: BRN
Yale mafuriko fake ya kububujikwa😆😆😆
 
Naona umepaniki.kama hutaki kazi ya serikali basi acha hata leo.
Mgeni akija watu wanaenda kumuona wenyewe kwa mapenzi yao na sio kwa kukokotwa?

We Lucas si umetwambia Mama wanampenda mwakani hakuna kampemi kumbe ndio hivi?

Mnaiba kura mnaiba hadi mafuriko hewa.

Tukiwambia Tundu Lissu atawanyosha muwe mnaelewa.
 
Sasa si bora waende wakapimzike tu
 
Sasa hapo kosa liko wapi ndugu hiyo si barua ya Mwaliko tu?

Au kwa kuwa ujinga umeanikwa umekasirika?
 
Hapo bado, watalazimishwa wapige kura ya wazi kwa ccm, wachangie ccm nk,
Mpaka pale akili zikitukaa sawa, siku tukielewa ccm ni janga kwa nchi hii
 
Mgeni akija watu wanaenda kumuona wenyewe kwa mapenzi yao na sio kwa kukokotwa?

We Lucas si umetwambia Mama wanampenda mwakani hakuna kampemi kumbe ndio hivi?

Mnaiba kura mnaiba hadi mafuriko hewa.

Tukiwambia Tundu Lissu atawanyosha muwe mnaelewa.
Sasa ulitaka watumishi wa umma waende bila ruhusa? Wanampenda sana na ndio maana utaona namna watakavyo furika na kumiminika kwa wingi wao. Leo hadi wana vyuo watakimbia na kutoroka vipindi ili wakamsikilize Rais wao mpendwa aliyewawezesha kusoma kwa raha baada ya kuwapa mikopo minono pamoja na hela nini ya kujikimu kwa siku.
 
Niliwaambia watu humu kuwa mjalaana samia ana nyota ya 💩💩 watu wakapinga ...mikutano yote ya samia watu wanao kuwepo ni wale walio lazimishwa kwenda kisiasa au kiserikali...tazama view wa video za samia YouTube hata zile za uzinduzi wa SGR ...utakuta view ni 20 hadi 800 tu ...pia kwenye mikutano yake watu waliopo ni makada wa ccm na watumishi wa serikali tu wananchi wa kawaida ni wachache awafiki tata asilimia 5 ya watu wanao kuwepo.
 
Mgeni akija watu wanaenda kumuona wenyewe kwa mapenzi yao na sio kwa kukokotwa?

We Lucas si umetwambia Mama wanampenda mwakani hakuna kampemi kumbe ndio hivi?

Mnaiba kura mnaiba hadi mafuriko hewa.

Tukiwambia Tundu Lissu atawanyosha muwe mnaelewa.
Jana kule ifakara mama aliomba kura nakutishia kuwa wakichagua upande mwingine itakula kwao kama ilivyotokea huko nyuma. Huyo ndio mama "yetu".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…