Morogoro: Watumishi wa Umma Walazimishwa kwenda kwenye mkutano wa Rais Samia leo hii

Ila kuna wakati mtu anatamani akurukie kichwa, basi tu hatuko ana kwa ana.
 
Wanawaonea sana walimu, mbona watumishi wa kada zingine hawalazimishwi. Amwandikie VC wa SUA kuwa watumishi wa SUA nao waende hapo, aone kama watatii.
 
Kuna ubaya gan kwenda kumsikiliza boss wao anasema nn
Punguza mihemko
 
Reactions: BRN
Kwamba bila vitisho watu hawatafika uwanjani!!
Kwamba wengi/wote wanamkubali kwa kulazimishwa 😀 😀 😀 .
 
Hii ndio Taarifa ya Aibu ambayo imetufikia wakati tunaingia mitamboni, tushasema humu mara kadhaa kwamba ccm haina watu, Haiwezekani chama kisababishe dhiki ya kiwango hiki kiasi cha watu kuanza kuvaa viraka halafu kiungwe mkono, Never!

Sasa someni wenyewe hapa ili mjionee

 
Ni mtazamo tu wa wananchi na Wana mapinduzi wa CCM. Kila la kheri mheshimiwa Samia suluhu Hassan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…