Morogoro: Watumishi wa Umma Walazimishwa kwenda kwenye mkutano wa Rais Samia leo hii

Katiba mpya itatufanya tuondokane na rais mungu mtu
Kama hutaki kumuheshimu Head of State acha kufanya kazi serikalini. Very Simple. Duniani kote watumishi wa Serikalini wanamuheshimu Head of State

Ignorance inasumbua wengi sana 🀣🀣🀣
 
Kwahiyo mauajiriwa wa serikali lazima awe SISIEMU? Kwa sheria zipi? Uhuru wa kuchagua chama anachokipenda upo wapi?
Mwashambwa wakati wote huishi katika upunguani. Hajui kuwa mfanyakazi anakuwepo kazini kwa kanuni za ajira.Na kwenye kanuni hizo mwajiriwa halazimiki kushiriki shughuli za kisiasa bali ana uhuru wa kushiriki au kutoshiriki.
 
Yaani huduma zote za kujamiii zisitishwe, barabara zifungwe n.k ndiyo heshima hiyo?

Katiba mpya inatakiwa ili madaraka yagatuliwe siyo kuhodhiwa na rais mfalme.
I told you nyie ni idiots barua imetoa maelekezo akina nani wanatakiwa waende kwenye mkutano.




Low education na kukurupuka kunawasumbua sana 🀣 🀣 🀣
 
Kwahiyo mauajiriwa wa serikali lazima awe SISIEMU? Kwa sheria zipi? Uhuru wa kuchagua chama anachokipenda upo wapi?
Wewe kama ni mwajiriwa wa Serikali ni mtumishi wa Serikali ya CCM. You must obey that. Mbona simple tu. Hebu niambie kiwango chako cha elimu nijishushe nikuelelze vizuri
 
Kama hutaki kumuheshimu Head of State acha kufanya kazi serikalini. Very Simple. Duniani kote watumishi wa Serikalini wanamuheshimu Head of State

Ignorance inasumbua wengi sana 🀣🀣🀣
Wewe yawezekana ni kichaa ysiyejitambua kuwa ni kichaa punguani. Yaani una akili ndogo kiasi cha kuamini kuwa heshima kwa mkuu wa nchi hudhihirishwa kwa kwenda kwenye mikutano yake ya kampeni inayofanywa kinyume cha sheriai!! Kwa akili yako ndogo, wote ambao hawajaenda kwenye hiyo mkutano wamemdharau kiongozi wa nchi!! Ama kweli nchi imejaa mapunguani.

Hivi tangu aanze hiyo mikutano, kuna nini cha maana alichowahi kuongea kiasi cha watu wote, including wenye akili timamu, waende kumsikiliza? Hiyo mikutano bila shaka anafanya kwa umbrela ya kuwa mwenyekiti wa CCM, ndiyo maana unaona anaongelea mambo ya uchaguzi kwa hoja zisizo na vichwa wala miguu.
 
 

Attachments

  • IMG-20240806-WA0047.jpg
    49.3 KB · Views: 1
Hapa umeandika mataputapu mdogo wangu.
Leta hoja za nguvu ujadiliane na watu wasomi kama mimi
Nimekufundisha kuwa President is a Head of State Kama kwenye Kampuni yeye ndiye mwajiri.

So isome barua vizuri na uache kukurupuka kama mtu usiye na akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…