Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
As I know wewe ni idiot 🤣 🤣 🤣 🤣Mbona wewe inaonekana kuwa stupid kuliko wachangiaji wote!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As I know wewe ni idiot 🤣 🤣 🤣 🤣Mbona wewe inaonekana kuwa stupid kuliko wachangiaji wote!!
Aibu sana.
Kama hutaki kumuheshimu Head of State acha kufanya kazi serikalini. Very Simple. Duniani kote watumishi wa Serikalini wanamuheshimu Head of StateKatiba mpya itatufanya tuondokane na rais mungu mtu
Mkuu labda uliofanywa fedha la sivyo zitapigwa ngumiHv kwann n walimu washule za serikali tu na c za watu binafsi..
Kama hutaki kumuheshimu Head of State
Mkuu ndio mambo ya CCM, full kupelekesha Tu kama makondoo, watu manacheka Lakin moyoni wanaliaHuo ujinga sifanyi, dadeeeeeeeeeeeeki
Mwashambwa wakati wote huishi katika upunguani. Hajui kuwa mfanyakazi anakuwepo kazini kwa kanuni za ajira.Na kwenye kanuni hizo mwajiriwa halazimiki kushiriki shughuli za kisiasa bali ana uhuru wa kushiriki au kutoshiriki.Kwahiyo mauajiriwa wa serikali lazima awe SISIEMU? Kwa sheria zipi? Uhuru wa kuchagua chama anachokipenda upo wapi?
I told you nyie ni idiots barua imetoa maelekezo akina nani wanatakiwa waende kwenye mkutano.Yaani huduma zote za kujamiii zisitishwe, barabara zifungwe n.k ndiyo heshima hiyo?
Katiba mpya inatakiwa ili madaraka yagatuliwe siyo kuhodhiwa na rais mfalme.
Wewe kama ni mwajiriwa wa Serikali ni mtumishi wa Serikali ya CCM. You must obey that. Mbona simple tu. Hebu niambie kiwango chako cha elimu nijishushe nikuelelze vizuriKwahiyo mauajiriwa wa serikali lazima awe SISIEMU? Kwa sheria zipi? Uhuru wa kuchagua chama anachokipenda upo wapi?
HakikaYaani huduma zote za kujamiii zisitishwe, barabara zifungwe n.k ndiyo heshima hiyo?
Katiba mpya inatakiwa ili madaraka yagatuliwe siyo kuhodhiwa na rais mfalme.
Childish propaganda 🤣 🤣 🤣 Watanzania kwa sasa ni wasomi. Huwezi kuwadanganya na propaganda za 1990s. Tulishatoka huko mdogo wangu.Hakika
Itakuwa ni Abood kama Kawa yake kuwasomba kama panyaVitoto vya shule vimeshindiliwa kwenye mabasi
Wewe yawezekana ni kichaa ysiyejitambua kuwa ni kichaa punguani. Yaani una akili ndogo kiasi cha kuamini kuwa heshima kwa mkuu wa nchi hudhihirishwa kwa kwenda kwenye mikutano yake ya kampeni inayofanywa kinyume cha sheriai!! Kwa akili yako ndogo, wote ambao hawajaenda kwenye hiyo mkutano wamemdharau kiongozi wa nchi!! Ama kweli nchi imejaa mapunguani.Kama hutaki kumuheshimu Head of State acha kufanya kazi serikalini. Very Simple. Duniani kote watumishi wa Serikalini wanamuheshimu Head of State
Ignorance inasumbua wengi sana 🤣🤣🤣
Nyamaza wewe chawaChildish propaganda 🤣 🤣 🤣 Watanzania kwa sasa ni wasomi. Huwezi kuwadanganya na propaganda za 1990s. Tulishatoka huko mdogo wangu.
Wamekusikia mkuu, wameunganisha, lakini lengo letu ni kuhakikisha taarifa inapenya kila mahali tu
Watumishi wa umma manispaa ya Morogoro wameamriwa na mkurugenzi kwenda kwenye mkutano wa hadhara wa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waalimu wa shule za kutwa wameambiwa wawaruhusu watoto saa 4 asubuhi kisha waende uwanja wa Jamhuri, wakuu wa shule watatakiwa kuchukua rokoo ya waalimu walio hudhuria kisha watakao kaidi majina yao yatawasilishwa kwa mkurugenzi wa manispaa.
Hii ni barua tuliyopewa (wakuu wa shule) kisha tumepigiwa simu kuhesabu watumishi walio chini yetu na kuwasilisha majina ya watakao kaidi.
Mimi ntawashughulikia watakao kaidi kulinda kibarua changu. Nakupenda sana mama yangu Samia (kwa sauti ya kinafiki)
View attachment 3062618
Hapa umeandika mataputapu mdogo wangu.Wewe yawezekana ni kichaa ysiyejitambua kuwa ni kichaa punguani. Yaani una akili ndogo kiasi cha kuamini kuwa heshima kwa mkuu wa nchi hudhihirishwa kwa kwenda kwenye mikutano yake ya kampeni inayofanywa kinyume cha sheriai!! Kwa akili yako ndogo, wote ambao hawajaenda kwenye hiyo mkutano wamemdharau kiongozi wa nchi!! Ama kweli nchi imejaa mapunguani.
Hivi tangu aanze hiyo mikutano, kuna nini cha maana alichowahi kuongea kiasi cha watu wote, including wenye akili timamu, waende kumsikiliza? Hiyo mikutano bila shaka anafanya kwa umbrela ya kuwa mwenyekiti wa CCM, ndiyo maana unaona anaongelea mambo ya uchaguzi kwa hoja zisizo na vichwa wala miguu.
Yaani wewe uninayamazishe. 🤣 🤣 🤣 🤣 Stupid. Mimi nanyamazishwa kwa hoja na sio mataputapu haya,Nyamaza wewe chawa