Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
🤣🤣🤣ru❎
Tu✔️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣ru❎
Tu✔️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo na Wafanyakazi wa NHC wanalalamika maboss wamejilipa posho wao hawana kitu chochote cha kufurahia ujio wa Mama.
Sasa si warudi nyumbani au kuna roll call inachukuliwaNipo na Wafanyakazi wa NHC wanalalamika maboss wamejilipa posho wao hawana kitu chochote cha kufurahia ujio wa Mama.
Mbona kwenye hii barua sioni palipoandikwa shule zifungwe ili wanafunzi waende uwanjani??
Kualika walimu na watumishi wengine kwenye mkutano wa Rais wetu Mpendwa unaumia?? Hama nchi, Samia ni wetu mpaka 2030.
Watoto wao wako International School of Tanganyika, wanasumbua watoto wa wajinga tuHii ndio Taarifa ya Aibu ambayo imetufikia wakati tunaingia mitamboni, tushasema humu mara kadhaa kwamba ccm haina watu, Haiwezekani chama kisababishe dhiki ya kiwango hiki kiasi cha watu kuanza kuvaa viraka halafu kiungwe mkono, Never!
Sasa someni wenyewe hapa ili mjionee
View attachment 3062888
Huo ni uzushi tuu usio na maana,hakuna mahala shule zimefingwa Kwa Ajili ya Watoto waende kwenye mkutano wa Hadhara Bali Wakuu wa taasisi ndio wametakiwa wahudhurie.Hii ndio Taarifa ya Aibu ambayo imetufikia wakati tunaingia mitamboni, tushasema humu mara kadhaa kwamba ccm haina watu, Haiwezekani chama kisababishe dhiki ya kiwango hiki kiasi cha watu kuanza kuvaa viraka halafu kiungwe mkono, Never!
Sasa someni wenyewe hapa ili mjionee
View attachment 3062888
Hakuna masomoWalimu wote wakiondoka shuleni nini hutokea mkuu.
Soma vizuri hiyo barua, lingetumika neno" KUALIKWA " kungekua hakuna tatizo kabisa.Mbona kwenye hii barua sioni palipoandikwa shule zifungwe ili wanafunzi waende uwanjani??
Lol
Kualika walimu na watumishi wengine kwenye mkutano wa Rais wetu Mpendwa unaumia?? Hama nchi, Samia ni wetu mpaka 2030.
Halafu huyu huyu mkurugenzi wa manispaa ambaye ni kada mteule wa rais aliye Mwenyekiti wa CCM awe msimamizi wa uchaguzi 2024 / 2025 wa mfumo wa vyama vingi vya kisiasa ktk uchaguzi wa kitaifa kupitia kinachoitwa Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania.
Chama dola kongwe na serikali yake iliyo madarakani haioni aibu katika hili. Mkurugenzi wa Manispaa asimamie mchakato, ahifadhi ma box ya kura, huyu huyu kada ahesabu na pia kumtangaza aliyeshinda 2024 / 2025, hakika CCM inawafanya watanganyika na wazazibari kuwa hatuelewi michezo aliyosema Nape Nnauye kuhusu kupora uchaguzi mzima unavyofanywa na CCM.
Na sidhani kama wanapewa hata Chakula hao Watz,,Wa kwao Wapo Shule Mida hiiHao wanafunzi wakipatwa na matatizo huko mkutanoni, mzigo unaangukia kwa wazaziii,
LOL
HatutakubaliToka maktaba:
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI TANZANIA NI HURU - MKURUGENZI RAMADHAN KAILIMA
Aibu sana.Niko Morogoro Msamvu shule zote za primary & secondary zimefungwa hali ni tete.
Ofisi zote za umma zimefungwa kuanzia TANROAD;TANESCO,MOROGORO URBAN WATER SUPPLY........ Hali ni mbaya sana.
Vitoto vya shule vimeshindiliwa kwenye mabasiNiko Morogoro Msamvu shule zote za primary & secondary zimefungwa hali ni tete.
Ofisi zote za umma zimefungwa kuanzia TANROAD;TANESCO,MOROGORO URBAN WATER SUPPLY........ Hali ni mbaya sana.
Hao ni kunguni waandamizi wa chura kiziwiTupate tamko kutoka kwa Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable
..TANROAD;TANESCO,MOROGORO URBAN WATER SUPPLY........ Hali ni mbaya sana.