Morogoro: Watumishi wa Umma Walazimishwa kwenda kwenye mkutano wa Rais Samia leo hii

Morogoro: Watumishi wa Umma Walazimishwa kwenda kwenye mkutano wa Rais Samia leo hii

Hao wanafunzi wakipatwa na matatizo huko mkutanoni, mzigo unaangukia kwa wazaziii,
LOL
 
Sasa kama yeye mwenyewe aliongea kwamba amekua chura kiziwi hato msikiliza yoyote kwa sababu anaona ni kelele, nani sasa mwenye akili timamu atakaa kumsikiliza mtu wa namna hiyo anaeona wanao mlipa msharaha ni wapiga kelele tuu 🤔🤔
 
Hii ndio Taarifa ya Aibu ambayo imetufikia wakati tunaingia mitamboni, tushasema humu mara kadhaa kwamba ccm haina watu, Haiwezekani chama kisababishe dhiki ya kiwango hiki kiasi cha watu kuanza kuvaa viraka halafu kiungwe mkono, Never!

Sasa someni wenyewe hapa ili mjionee

View attachment 3062888
Watoto wao wako International School of Tanganyika, wanasumbua watoto wa wajinga tu
 
Hii ndio Taarifa ya Aibu ambayo imetufikia wakati tunaingia mitamboni, tushasema humu mara kadhaa kwamba ccm haina watu, Haiwezekani chama kisababishe dhiki ya kiwango hiki kiasi cha watu kuanza kuvaa viraka halafu kiungwe mkono, Never!

Sasa someni wenyewe hapa ili mjionee

View attachment 3062888
Huo ni uzushi tuu usio na maana,hakuna mahala shule zimefingwa Kwa Ajili ya Watoto waende kwenye mkutano wa Hadhara Bali Wakuu wa taasisi ndio wametakiwa wahudhurie.
 
Mbona kwenye hii barua sioni palipoandikwa shule zifungwe ili wanafunzi waende uwanjani??
Lol
Kualika walimu na watumishi wengine kwenye mkutano wa Rais wetu Mpendwa unaumia?? Hama nchi, Samia ni wetu mpaka 2030.
Soma vizuri hiyo barua, lingetumika neno" KUALIKWA " kungekua hakuna tatizo kabisa.
 
Halafu huyu huyu mkurugenzi wa manispaa ambaye ni kada mteule wa rais aliye Mwenyekiti wa CCM awe msimamizi wa uchaguzi 2024 / 2025 wa mfumo wa vyama vingi vya kisiasa ktk uchaguzi wa kitaifa kupitia kinachoitwa Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania.

Chama dola kongwe na serikali yake iliyo madarakani haioni aibu katika hili. Mkurugenzi wa Manispaa asimamie mchakato, ahifadhi ma box ya kura, huyu huyu kada ahesabu na pia kumtangaza aliyeshinda 2024 / 2025, hakika CCM inawafanya watanganyika na wazazibari kuwa hatuelewi michezo aliyosema Nape Nnauye kuhusu kupora uchaguzi mzima unavyofanywa na CCM.

Katika mazingira haya, bila maadamano ya GEN-Z, tayari tumeshaporwa mchakato mzima wa uchaguzi huru na wa haki 2024 / 2025

Kigoma, Tanzania

ACT WAZALENDO NA IMANI YAO KWA WAKURUGENZI WA MANISPAA NA HALMASHAURI UCHAGUZI 2024

View: https://m.youtube.com/watch?v=_10wijih5fw
 
Toka maktaba:

Watanzania muwe na imani, iamini kauli ya serikali ya CCM iliyopo madarakani pia wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni makada wa CCM wenye kofia ya Wakurugenzi wa Halmashauri na Manispaa zote Tanzania

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI TANZANIA NI HURU - MKURUGENZI RAMADHAN KAILIMA​

View: https://m.youtube.com/watch?v=GbOZcTXRUKQ
 
Niko Morogoro Msamvu shule zote za primary & secondary zimefungwa hali ni tete.

Ofisi zote za umma zimefungwa kuanzia TANROAD;TANESCO,MOROGORO URBAN WATER SUPPLY........ Hali ni mbaya sana.
Aibu sana.
 
Niko Morogoro Msamvu shule zote za primary & secondary zimefungwa hali ni tete.

Ofisi zote za umma zimefungwa kuanzia TANROAD;TANESCO,MOROGORO URBAN WATER SUPPLY........ Hali ni mbaya sana.
Vitoto vya shule vimeshindiliwa kwenye mabasi
 
Back
Top Bottom