Kyodowe
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,236
- 1,368
Haya ni matumizi mabaya ya winoWaafrika watu wa hovyo sana....muda wa kukoroga lisaini lote hilo anautoa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ni matumizi mabaya ya winoWaafrika watu wa hovyo sana....muda wa kukoroga lisaini lote hilo anautoa wapi?
Mambo ya hayo ya kawaida sana hata Ulaya, Marekani na Asia wanafanya hivyo. Tatizo lako huna exposure 🤣 🤣 🤣Nimeshuhudia watu wakisombwa hapa na Bajaji na Coaster mitaa ya Viwandani na Posho juu wameahidiwa.
Hapa umeandika mataputapu mdogo wangu.
Leta hoja za nguvu ujadiliane na watu wasomi kama mimi
Nimekufundisha kuwa President is a Head of State Kama kwenye Kampuni yeye ndiye mwajiri.
So isome barua vizuri na uache kukurupuka kama mtu usiye na akili
Wameahidia ,Kazi Kweli, 😂 wasije Tu wakutapeliwa maana maccm ni majizi sanaNimeshuhudia watu wakisombwa hapa na Bajaji na Coaster mitaa ya Viwandani na Posho juu wameahidiwa.
Kama wewe ni High brain, basi hata kuku naye ni high brain. 🤣🤣🤣🤣Wewe ni mind crippled creature with minimum thinking ability, not worth to argue with any high brain in thid universe.
sasa watu wa morogoro wanajali kazi au liten lililozagaa zagaa 😛😀Wameahidia ,Kazi Kweli, 😂 wasije Tu wakutapeliwa maana maccm ni majizi sana
Wanafunzi wa shule za msingi, primary ni waajira ?Sasa unaitwa na mwajiri wako unakataa kwenda .Je, Unataka kazi au hautaki?
Nimekwambi mdogo wangu. Bado uwezo wako ni chini ya kiwango. Nakushauri, ushauri wa bure kabisa. Update capacity of your brain.Labda Ulaya na America ya huko Buguruni.
For my all over 40 years in Europe and America, I had never witnessed such idiocy neither in Western Europe nor in North America.
CCM ina siasa za kishenzi za ujamaaLabda Ulaya na America ya huko Buguruni.
For my all over 40 years in Europe and America, I had never witnessed such idiocy neither in Western Europe nor in North America.
Rais ndio Mwajiri Mkuu wa Juu kabisa wa Utumishi wa Umma. Rais ni mwakilishi wa umma wa Watanzania kupitia International Recognized Mechanism ya sanduku la kura. Sasa Mwajiri Mkuu anakuja wilayani kwako au mkoani kwako halafu unabaki ofisini kufanya nini?Watumishi wa umma manispaa ya Morogoro wameamriwa na mkurugenzi kwenda kwenye mkutano wa hadhara wa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waalimu wa shule za kutwa wameambiwa wawaruhusu watoto saa 4 asubuhi kisha waende uwanja wa Jamhuri, wakuu wa shule watatakiwa kuchukua rokoo ya waalimu walio hudhuria kisha watakao kaidi majina yao yatawasilishwa kwa mkurugenzi wa manispaa.
Hii ni barua tuliyopewa (wakuu wa shule) kisha tumepigiwa simu kuhesabu watumishi walio chini yetu na kuwasilisha majina ya watakao kaidi.
Mimi ntawashughulikia watakao kaidi kulinda kibarua changu. Nakupenda sana mama yangu Samia (kwa sauti ya kinafiki)
View attachment 3062618
Sasa wanafunzi wa shule za msingi primary ni waajirawa ?Rais ndio Mwajiri Mkuu wa Juu kabisa wa Utumishi wa Umma. Rais ni mwakilishi wa umma wa Watanzania kupitia International Recognized Mechanism ya sanduku la kura. Sasa Mwajiri Mkuu anakuja wilayani kwako au mkoani kwako halafu unabaki ofisini kufanya nini?
Katiba imeweka wazi kabisa kwamba watumishi wote ndani ya JMT hufanya kazi hizo kwa niaba ya Rais.
Sasa nini cha ajabu wakienda kwenye mkutano ambao mgeni rasmi ni Rais wa JMT?
Let speak with facts.
🤣 🤣 🤣 🤣Labda Ulaya na America ya huko Buguruni.
For my all over 40 years in Europe and America, I had never witnessed such idiocy neither in Western Europe nor in North America.
Acheni uwongo...Hakuna aliyelazimishwa kwenda uwanjani kwanza waalimu wakuu wa Moro Wana kikao huko KilomberoWatumishi wa umma manispaa ya Morogoro wameamriwa na mkurugenzi kwenda kwenye mkutano wa hadhara wa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waalimu wa shule za kutwa wameambiwa wawaruhusu watoto saa 4 asubuhi kisha waende uwanja wa Jamhuri, wakuu wa shule watatakiwa kuchukua rokoo ya waalimu walio hudhuria kisha watakao kaidi majina yao yatawasilishwa kwa mkurugenzi wa manispaa.
Hii ni barua tuliyopewa (wakuu wa shule) kisha tumepigiwa simu kuhesabu watumishi walio chini yetu na kuwasilisha majina ya watakao kaidi.
Mimi ntawashughulikia watakao kaidi kulinda kibarua changu. Nakupenda sana mama yangu Samia (kwa sauti ya kinafiki)
View attachment 3062618
Wewe kama ni mwajiriwa wa Serikali ni mtumishi wa Serikali ya CCM. You must obey that. Mbona simple tu. Hebu niambie kiwango chako cha elimu nijishushe nikuelelze vizuri