Morogoro: Watumishi wa Umma Walazimishwa kwenda kwenye mkutano wa Rais Samia leo hii

Nimeshuhudia watu wakisombwa hapa na Bajaji na Coaster mitaa ya Viwandani na Posho juu wameahidiwa.
 
Mambo ya hayo ya kawaida sana hata Ulaya, Marekani na Asia wanafanya hivyo. Tatizo lako huna exposure 🤣 🤣 🤣
 
Hapa umeandika mataputapu mdogo wangu.
Leta hoja za nguvu ujadiliane na watu wasomi kama mimi
Nimekufundisha kuwa President is a Head of State Kama kwenye Kampuni yeye ndiye mwajiri.

So isome barua vizuri na uache kukurupuka kama mtu usiye na akili

Wewe ni mind crippled creature with minimum thinking ability, not worth to argue with any high brain in thid universe.
 
Kama wewe ni High brain, basi hata kuku naye ni high brain. 🤣🤣🤣🤣
 
Labda Ulaya na America ya huko Buguruni.

For my all over 40 years in Europe and America, I had never witnessed such idiocy neither in Western Europe nor in North America.
 
Nimekwambi mdogo wangu. Bado uwezo wako ni chini ya kiwango. Nakushauri, ushauri wa bure kabisa. Update capacity of your brain.

Hivi kiwango chako cha elimu ni kipi?
 
Labda Ulaya na America ya huko Buguruni.

For my all over 40 years in Europe and America, I had never witnessed such idiocy neither in Western Europe nor in North America.
CCM ina siasa za kishenzi za ujamaa
 
Watumishi wa umma manispaa ya Morogoro wameamriwa na mkurugenzi kwenda kwenye mkutano wa hadhara wa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Waalimu wa shule za kutwa wameambiwa wawaruhusu watoto saa 4 asubuhi kisha waende uwanja wa Jamhuri, wakuu wa shule watatakiwa kuchukua rokoo ya waalimu walio hudhuria kisha watakao kaidi majina yao yatawasilishwa kwa mkurugenzi wa manispaa.

Hii ni barua tuliyopewa (wakuu wa shule) kisha tumepigiwa simu kuhesabu watumishi walio chini yetu na kuwasilisha majina ya watakao kaidi.

Mimi ntawashughulikia watakao kaidi kulinda kibarua changu. Nakupenda sana mama yangu Samia (kwa sauti ya kinafiki)

View attachment 3062618
Rais ndio Mwajiri Mkuu wa Juu kabisa wa Utumishi wa Umma. Rais ni mwakilishi wa umma wa Watanzania kupitia International Recognized Mechanism ya sanduku la kura. Sasa Mwajiri Mkuu anakuja wilayani kwako au mkoani kwako halafu unabaki ofisini kufanya nini?
Katiba imeweka wazi kabisa kwamba watumishi wote ndani ya JMT hufanya kazi hizo kwa niaba ya Rais.
Sasa nini cha ajabu wakienda kwenye mkutano ambao mgeni rasmi ni Rais wa JMT?
Let speak with facts.
 
Sasa wanafunzi wa shule za msingi primary ni waajirawa ?
Kwanini wamewachisha Masomo Yao kisa siasa
 
Labda Ulaya na America ya huko Buguruni.

For my all over 40 years in Europe and America, I had never witnessed such idiocy neither in Western Europe nor in North America.
🤣 🤣 🤣 🤣

1722952107046.png
 
Watumishi wa umma manispaa ya Morogoro wameamriwa na mkurugenzi kwenda kwenye mkutano wa hadhara wa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Waalimu wa shule za kutwa wameambiwa wawaruhusu watoto saa 4 asubuhi kisha waende uwanja wa Jamhuri, wakuu wa shule watatakiwa kuchukua rokoo ya waalimu walio hudhuria kisha watakao kaidi majina yao yatawasilishwa kwa mkurugenzi wa manispaa.

Hii ni barua tuliyopewa (wakuu wa shule) kisha tumepigiwa simu kuhesabu watumishi walio chini yetu na kuwasilisha majina ya watakao kaidi.

Mimi ntawashughulikia watakao kaidi kulinda kibarua changu. Nakupenda sana mama yangu Samia (kwa sauti ya kinafiki)

View attachment 3062618
Acheni uwongo...Hakuna aliyelazimishwa kwenda uwanjani kwanza waalimu wakuu wa Moro Wana kikao huko Kilombero
 
Back
Top Bottom