Morrison agombana na shabiki wa Yanga, adaiwa kutumia kitu chenye ncha kali

Morrison agombana na shabiki wa Yanga, adaiwa kutumia kitu chenye ncha kali

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Dah,huyu jamaa

FB_IMG_16513518711249209.jpg
 
Mashabiki wa yanga huwa wanawashwa washwa leo mmeyaoga.
Morrison naye ni chizi!! Pale aliweka hata maisha yake rehani, huwezi kushindana na mashabiki wote wale na ashukuru wajeda walijitokeza kumuokoa!! Ukipenda kushangiliwa kubali kuzomewa pia, kwa kuwa ndio haki kuu za mashabiki! Morrison anashida yule!! Kule Kigoma alivua nguo akabaki na boksa, South kapigwa marufuku kukanyaga!!
 
Back
Top Bottom