Ujinga wa watanzania ni kutetea upumbavu bila kujali athari zake!!, Leo watu wa Simba mnamuona Morrison km kafanya jambo la kishujaa sana??. Manara alipokuwa upande wenu alikuwa mropokaji na mtoa maneno machafuu lakini baada ya kuhamia yanga akaanza kufanya aliyokuwa anayafanya yupo Simba mishipa mpk ya miqundu inawatoka kwa kuona manara Hana adabu ila alipokuwa Simba mlifurahia maneno hayo.
Emmanuel okwi,
Tambwe,
Chama,
Niyonzima.
Kagere, na wengine wengi wapo hapa Tz kwa muda mrefu Wala hakuna walipozomewa Wala kusumbuana na mashabeki!! Kwanini iwe Morrison?? Mtu mwenye akili timamu hawezi kuishangilia huu ujinga na akumbuke yeye ni mmoja mashabiki ni wengi na hili ameacha deni ipo siku atalilipa aidha uwanjani au nje ya uwanja.
Tuache kutetea upuuzi