Morrison agombana na shabiki wa Yanga, adaiwa kutumia kitu chenye ncha kali

Morrison agombana na shabiki wa Yanga, adaiwa kutumia kitu chenye ncha kali

Afukuzwe nchini huyo chizi.
Ona naanza kuua watanzania wenzetu, ipo siku atakuja na bomu uwanjani.

Mnalitetea eti kisa shabiki alimfata, na nyie muungane nae mahabusu huko.
Yeye ni mtu maarufu kufatwa ni lazima, kutukanwa ni lazima yani hiyo haikwepeki.

Ndio maana mastar kwenye mechi kama hizo hukaa mbali na mashabiki kabisaaa kuepuka dhahma kama hizo.
Kama mchezaji huwezi kucontrol hisia zako hufai kua mchezaji, tena unataka kuua kabisa, afukuzwe nchini huyo
 
Hilo nalo lina ushabiki? mtu kajeruhiwa wewe unaleta upuuzi wako, akili zako kama techco yako
Na sio kujeruhiwa alitakiwa kufa kabisa.

Sasa huyo shabiki wa vyura alikuwa anawashwa nn kufuata Morrison na kuanza kumzomea?

Kila mtu ana mipaka yake unapo shindwa kujiwekea mipaka ni lazima utakumbana na kitu kama hicho.

Wachezaji nao ni binadamu kama ww anapata hasira unapo mletea udwanzi.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Nina thamini uhai wa binadamu mwenzangu ila pale anapoleta ujinga madhara yanayompata ni halali yake.

Mtu alishaachana na nyinyi, mchezaji kaingia uwanjani kicheza mmemzomea vya kutosha mkiwa majukwaani na hakuna alilofanya ila kwa kuona haitoshi bado watu wanaenda kum-attack physically, aiseeh hata mimi nitatumia kilichopo karibu[emoji1].

Kulikuwa na haja gani ya huyo shabiki kwenda kum-attack Morrison, sifa za kijinga zimempatia malipo sahihi.
professional player anapaswa aweze kujizuia na matukio ya namna hiyo, sielewi hata bisi bisi itakuwa aliipata wapi. Matukio ya namna hiyo anapaswa kuwaachia akina Yondani na Juma Nyoso.
 
Morrison naye ni chizi!! Pale aliweka hata maisha yake rehani, huwezi kushindana na mashabiki wote wale na ashukuru wajeda walijitokeza kumuokoa!! Ukipenda kushangiliwa kubali kuzomewa pia, kwa kuwa ndio haki kuu za mashabiki! Morrison anashida yule!! Kule Kigoma alivua nguo akabaki na boksa, South kapigwa marufuku kukanyaga!!
Na mashabiki wanatakiwa kujua mpaka yao mpira ulikuwa umeisha sasa kulikuwa na haja gani ya huyo shabiki wa yanga kufuata Morrison mpaka kwenye gari yake?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Shabiki mwenye kiherehere amekipata cha moto
 
Tanzania kuna wachezaji wangapi hatuja wahi sikia tukio kama hilo kwanini yeye? una tetea ujinga tu wewe nenda kwenye nchi za watu huko ukafanye hivyo ndio utajua bongo tuna dekezana.
Acha undezi watu tunatofautiana mioyo unafuataje mchezaji nje ya na kuanza kumzomea kwenye gari lake?
Ww una moyo wa uvumilivu mwingine hana.

Kwani uwanjani siwalikuwa wana mzomea ? Mbona hajawashambulia?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Afukuzwe nchini huyo chizi.
Ona naanza kuua watanzania wenzetu, ipo siku atakuja na bomu uwanjani.

Mnalitetea eti kisa shabiki alimfata, na nyie muungane nae mahabusu huko.
Yeye ni mtu maarufu kufatwa ni lazima, kutukanwa ni lazima yani hiyo haikwepeki.

Ndio maana mastar kwenye mechi kama hizo hukaa mbali na mashabiki kabisaaa kuepuka dhahma kama hizo.
Kama mchezaji huwezi kucontrol hisia zako hufai kua mchezaji, tena unataka kuua kabisa, afukuzwe nchini huyo
Acha kutetea ujinga hakuna kitu chochote kinacho halalisha kumshambulia mtu ambaye hajakuchokoza.

Yaan mtu sikujui sija kuongelesha alafu unifuate kwenye gari yangu uanze kunitukana kisa mm ni mtu maarufu?

Ronardo juzijuzi tu hapa huliivunja vunja simu shabiki kwa ajili ya upumbavu kama huu

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Mtu akitetea huu ujinga nitamshangaa sana, hata kama kazomewa ila hakupaswa kumjeruhi mtu
Hivi we ungechukua uamuzi gani mtu humjui anakufuata mpaka kwenye gari yako na kuanza kukutukana na kukuita mwizi wa magari ?

Wachezaji ni binadamu kama ww nao wana kasirika ukiwaletea upuuzi.
Mashabiki tunatakiwa kujua mipaka yetu.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
professional player anapaswa aweze kujizuia na matukio ya namna hiyo, sielewi hata bisi bisi itakuwa aliipata wapi. Matukio ya namna hiyo anapaswa kuwaachia akina Yondani na Juma Nyoso.
Ronardo juzijuzi tu hapa alivunja vunja simu ya shambiki na kumsukuma kwa ajili ya upuuzi kama huu.
Mashabiki tuwe na mipaka, mchezaji ni binadamu kama ww anakasirika ukimkera kama ww unavyo kasirika unapo kereka.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania kuna wachezaji wangapi hatuja wahi sikia tukio kama hilo kwanini yeye? una tetea ujinga tu wewe nenda kwenye nchi za watu huko ukafanye hivyo ndio utajua bongo tuna dekezana.
Hujasikia ww

Huyu shabiki mpumbavu alimletea nyoso upumbavu baada ya mechi kilichotokea alilazwa hospitalini na nyoso akaachiwa..ukiwa tahira kichapo halali yako
FB_IMG_16513948179902669.jpg
 
Eti ujinga wa Morrison kwa nn usiwe wa huyo shabiki, ametokana wapi na Morrison, alichokifata ndio amekipata next time asirudie.
Huo ndiyo ukweli wenyewe walimfuata wa nin walichokifuata wamekipata,
Hata katika hali ya kawaida tu mtu akikukorofisha lazma umalizane nae viherehere wamejipendekeza wenyewe jamaa kamalizana nao
 
Back
Top Bottom