Morrison agombana na shabiki wa Yanga, adaiwa kutumia kitu chenye ncha kali

Morrison agombana na shabiki wa Yanga, adaiwa kutumia kitu chenye ncha kali

Morisson amfuate tu mtu asiyemjua kisha amjeruhi

Huyo shabiki kuna namna katafuta atandikwe alikuwa anawashwa
Mtu aliyevua nguo hadharani akaweka kichwani unamwamini kabisa?
 
Acha kutetea ujinga hakuna kitu chochote kinacho halalisha kumshambulia mtu ambaye hajakuchokoza.

Yaan mtu sikujui sija kuongelesha alafu unifuate kwenye gari yangu uanze kunitukana kisa mm ni mtu maarufu?

Ronardo juzijuzi tu hapa huliivunja vunja simu shabiki kwa ajili ya upumbavu kama huu

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Hivi ile video umeiona?? Au na wewe unawaamini wanasimba kua alifatwa kwenye gari akaanza kutukanwa??

Kwahiyo solution ni kumchoma mtu na bisibisi.
Unatetea mauaji kisa huyo aliyechomwa hakuhusu wewe.
Yani kwa namna yoyote hakutakiwa kumtia mtu bisu.

Ushabiki wa simba na yanga unafahamika nchi nzima, watu wanataniana mno. Hiyo ya kusema Morison alitukanwa hakuna mwenye ushahidi nayo mnaisema ili kumlinda tu kisa ni mchezaji wenu.
 
Kwahiyo morsson alifuata tu na kuanza kumshambulia bila sababu?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni Simba ila kama kweli Morrison kafanya kama inavyosemwa anastahili adhabu kali sana, na kwangu naona ndio wakati muafaka sasa wakuachana na Morrison na kutafuta wachezaji wafanisi na wanaojitambua.

Siku zote mashabiki wanataka kua karibu na wachezaji kwasababu zao mbalimbali kuwashangilia,kuwazomea,kuwatukana,kuwashika mikono,kupiga nao picha.

Ni jukumu la mchezaji kwa usalama wake kumkwepa mshabiki ili kutokumbana na situations zozote hasi ambazo zinazoweza kutokea,

Nafikiri uongozi wa Simba unatakiwa kutueleza inamuachiaje mchezaji kuondoka uwanjani kwenye mazingira kama yale,kwanini wasisubiri mpaka mashabiki wamalizike kutoka uwanjani,nakama alilazimisha kuondoka inabidi achukuliwe hatua za kinidhamu.

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo morsson alifuata tu na kuanza kumshambulia bila sababu?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Kwa akili ya morison hilo linawezekana kabisa. Angekua mtu kama bocco, zimbwe jr, hapo kweli mtu atakaesema wao ndo wakorofi ni apigwe tu.

Lakini huyo jamaa wenu ni chakaramu na inafahamika. Mtu anavaa chupi kichwani, anabaki mtupu kwenye halaiki kama ile hivi kweli huyo akili yake iko sawa!!??
Kumtia mtu bisu ilikua ni suala la muda tu, subiri aingie na bomu uwanjani sasa.
 
Sema siku morison akiondoka nchin hapa kuna watu watapumua maana ndio lengo lao kuu ninaloliona
 
professional player anapaswa aweze kujizuia na matukio ya namna hiyo, sielewi hata bisi bisi itakuwa aliipata wapi. Matukio ya namna hiyo anapaswa kuwaachia akina Yondani na Juma Nyoso.
Bisibisi ilikuwa ni ya shabiki mwenyewe aliyechomwa , mpaka sasa hakuna kesi yoyote.
 
Kwa akili ya morison hilo linawezekana kabisa. Angekua mtu kama bocco, zimbwe jr, hapo kweli mtu atakaesema wao ndo wakorofi ni apigwe tu.

Lakini huyo jamaa wenu ni chakaramu na inafahamika. Mtu anavaa chupi kichwani, anabaki mtupu kwenye halaiki kama ile hivi kweli huyo akili yake iko sawa!!??
Kumtia mtu bisu ilikua ni suala la muda tu, subiri aingie na bomu uwanjani sasa.
Aliyechomwa ndie mmiliki wa ile bisibisi, ilifaa amwage utumbo.
 
Morisson anafanana na hizi tabia za hovyo, SA walimpiga marufuku kuingia kwao, na hapa kwetu ikibidi wamfukuze tu, mfano mbaya kwa watoto, he is not a proffessional player at all.
 
Kwa akili ya morison hilo linawezekana kabisa. Angekua mtu kama bocco, zimbwe jr, hapo kweli mtu atakaesema wao ndo wakorofi ni apigwe tu.

Lakini huyo jamaa wenu ni chakaramu na inafahamika. Mtu anavaa chupi kichwani, anabaki mtupu kwenye halaiki kama ile hivi kweli huyo akili yake iko sawa!!??
Kumtia mtu bisu ilikua ni suala la muda tu, subiri aingie na bomu uwanjani sasa.
Acha kutetea mambo yasiyo na maana mkuu.
Morisson ni mtukutu sawa lakini hawezi kuanza kushambulia mtu bila chanzo.

Mkisha toka uwanjani mkataba kati ya mchezaji na shabiki umeisha tofauti na hapo unaingilia maisha yake binafisi.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Hayupo ndani, Morrison katoka tangu jana. Alishikiliwa na Polisi kumhakikishia usalama tu lakini hakuna kesi yoyote.

Apewe kasi gani ikiwa alikuwa anapambana na wanyang'anyi wa yanga?
Majambazi ya utopolo
 
Hayupo ndani, Morrison katoka tangu jana. Alishikiliwa na Polisi kumhakikishia usalama tu lakini hakuna kesi yoyote.

Apewe kasi gani ikiwa alikuwa anapambana na wanyang'anyi wa yanga?
Morrison hastahili kutetewa kwa lolote, kwa chochote! Ukiondoa kipaji chake kikubwa cha mpira alicho nacho, Morison ni useless tu kwenye jamii ya wastaarabu.

Ipo siku utakuja kujilaumu kwa nini ulimtetea mvuta bangi kama Morrison.
 
Namzungumzia katika muktadha wa hiki kinachojadiliwa hapa mkuu, hakuwa na kosa lolote.

Watu huthaminiwa kwa umuhimu wao, as long as umekiri kuwa ana kipaji basi anastahili kuwepo hapo alipo, kuhusu madhaifu hata wewe unayo na pengine wanaokuzunguka wamechoshwa na wewe ila ndo hivyo wanakuvumilia.
 
Ujinga wa watanzania ni kutetea upumbavu bila kujali athari zake!!, Leo watu wa Simba mnamuona Morrison km kafanya jambo la kishujaa sana??. Manara alipokuwa upande wenu alikuwa mropokaji na mtoa maneno machafuu lakini baada ya kuhamia yanga akaanza kufanya aliyokuwa anayafanya yupo Simba mishipa mpk ya miqundu inawatoka kwa kuona manara Hana adabu ila alipokuwa Simba mlifurahia maneno hayo.

Emmanuel okwi,
Tambwe,
Chama,
Niyonzima.
Kagere, na wengine wengi wapo hapa Tz kwa muda mrefu Wala hakuna walipozomewa Wala kusumbuana na mashabeki!! Kwanini iwe Morrison?? Mtu mwenye akili timamu hawezi kuishangilia huu ujinga na akumbuke yeye ni mmoja mashabiki ni wengi na hili ameacha deni ipo siku atalilipa aidha uwanjani au nje ya uwanja.

Tuache kutetea upuuzi
 
Morrison ni muhuni lazima azomewe na akileta vurugu atupwe selo
 
Hayupo ndani, Morrison katoka tangu jana. Alishikiliwa na Polisi kumhakikishia usalama tu lakini hakuna kesi yoyote.

Apewe kasi gani ikiwa alikuwa anapambana na wanyang'anyi wa yanga?
Sio wanyang'anyi tu ndio mipanya road hayo yanatembea na bisibisi matokeo yake limepigwa lenyewe.
 
Back
Top Bottom