Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
He is too much of a liability. One drama after another. Simba should let him go.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asa kwann akae ni visu?Morisson amfuate tu mtu asiyemjua kisha amjeruhi
Huyo shabiki kuna namna katafuta atandikwe alikuwa anawashwa
Kumbe ndio maana South Africa wamempiga PI huyu jamaa. Akili zake haziko sawa!Morisson amfuate tu mtu asiyemjua kisha amjeruhi
Huyo shabiki kuna namna katafuta atandikwe alikuwa anawashwa
Sasa katika umati huo wamejuaje kuwa ni Morrison kampiga au kumchoma? Kuna jambo hapo la kuchunguza
Hiyo ndio kazi ya polisi, kutunza usalama wa mali na raia, huyo afunguliwe jalada chap kesi ianze, hakuna muda wa kubembeleza wahalifu.Nlidhan amemuua kabisa, kumbe kajeruhiwwa, ndio kujifanya kiherehere na mmnamchezea mtu mwenye hasira za karibu ndio matokeo yake hayo
Nasikia walimtoa usiku wa jana,jamaa kawachoma na bisi bisi washabiki wa Yanga 😀Mkuu wa kituo cha Polisi Temeke amethibitisha kushikiliwa kwa Bernard Morrison baada ya kuwajeruhi mashabiki wa Yanga na kitu chenye ncha kali.
.
.
Viongozi wa klabu ya Simba wanapambana kumtoa usiku huu.
Vipi kama walikuwa wanamfanyia assault na alikuwa anajilinda?Hilo nalo lina ushabiki? mtu kajeruhiwa wewe unaleta upuuzi wako, akili zako kama techco yako
Wewe mtu akitaka kukudhuru hautajibu shambulizi?Asa kwann akae ni visu?
Morrison naye ni chizi!! Pale aliweka hata maisha yake rehani, huwezi kushindana na mashabiki wote wale na ashukuru wajeda walijitokeza kumuokoa!! Ukipenda kushangiliwa kubali kuzomewa pia, kwa kuwa ndio haki kuu za mashabiki! Morrison anashida yule!! Kule Kigoma alivua nguo akabaki na boksa, South kapigwa marufuku kukanyaga!!
Wachezaji huwa wanaadhibiwa wanapogombana na mashabiki ili kuwalinda wasirudie huo upuuzi kwani kugombana na maahabiki ni kuhatarisha usalama wao. Kwa mfano hiyo jana mashabiki wangependa kumdhuru saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine.
Tanzania kuna wachezaji wangapi hatuja wahi sikia tukio kama hilo kwanini yeye? una tetea ujinga tu wewe nenda kwenye nchi za watu huko ukafanye hivyo ndio utajua bongo tuna dekezana.Morisson amfuate tu mtu asiyemjua kisha amjeruhi
Huyo shabiki kuna namna katafuta atandikwe alikuwa anawashwa
Wewe ndie unatetea ujinga .je ni mchezaji gani amewah fuatwa kwenye gari yake na kutukanwa wazwaz ,narudia Tena hakuna utani wa namna hiyo ,huyo shabiki alipaswa akatwe sikio kabisa ili atambue sio vzr kumuattack mtu moja kwa moja .Tanzania kuna wachezaji wangapi hatuja wahi sikia tukio kama hilo kwanini yeye? una tetea ujinga tu wewe nenda kwenye nchi za watu huko ukafanye hivyo ndio utajua bongo tuna dekezana.
Tuletee hicho kisu alichokuwa nacho Morrison, kisu kilikuwa ni cha shabiki akageuziwa kichapo.Wamemchekea tu huyo , hahitaji kurudishwa kwao akiwa hivyo Tz tutaonekana mabinti wa kazi, arudi na pamba puani
Kwan ni mwizi kweli?Wewe ndie unatetea ujinga .je ni mchezaji gani amewah fuatwa kwenye gari yake na kutukanwa wazwaz ,narudia Tena hakuna utani wa namna hiyo ,huyo shabiki alipaswa akatwe sikio kabisa ili atambue sio vzr kumuattack mtu moja kwa moja .
Umenizomea uwanjan ,sawa ni kazi ya shabik kuzomea ila sio kazi ya shabik kumfuata mchezaji moja kwa moja na kumwita mwizi wa magari ungekua wewe ungekaa kimya tu wakat mtu anakuattack uso kwa uso tena tofaut na mambo ya mpira.
Kwanza huyo Jamaa Ana bahat Sana pia liwe funzo kwa fans wengine wenye viherehere ,utani uwepo lakin angalia na mazingira ya kumtania mtu .