Morrison agombana na shabiki wa Yanga, adaiwa kutumia kitu chenye ncha kali

Mkuu wa kituo cha Polisi Temeke amethibitisha kushikiliwa kwa Bernard Morrison baada ya kuwajeruhi mashabiki wa Yanga na kitu chenye ncha kali.
.
.
Viongozi wa klabu ya Simba wanapambana kumtoa usiku huu.
 
Mashabiki wa yanga huwa wanawashwa washwa leo mmeyaoga.
Morrison naye ni chizi!! Pale aliweka hata maisha yake rehani, huwezi kushindana na mashabiki wote wale na ashukuru wajeda walijitokeza kumuokoa!! Ukipenda kushangiliwa kubali kuzomewa pia, kwa kuwa ndio haki kuu za mashabiki! Morrison anashida yule!! Kule Kigoma alivua nguo akabaki na boksa, South kapigwa marufuku kukanyaga!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…