Morrison agombana na shabiki wa Yanga, adaiwa kutumia kitu chenye ncha kali

He is too much of a liability. One drama after another. Simba should let him go.
 
Nlidhan amemuua kabisa, kumbe kajeruhiwwa, ndio kujifanya kiherehere na mmnamchezea mtu mwenye hasira za karibu ndio matokeo yake hayo
Hiyo ndio kazi ya polisi, kutunza usalama wa mali na raia, huyo afunguliwe jalada chap kesi ianze, hakuna muda wa kubembeleza wahalifu.
 
Mkuu wa kituo cha Polisi Temeke amethibitisha kushikiliwa kwa Bernard Morrison baada ya kuwajeruhi mashabiki wa Yanga na kitu chenye ncha kali.
.
.
Viongozi wa klabu ya Simba wanapambana kumtoa usiku huu.
Nasikia walimtoa usiku wa jana,jamaa kawachoma na bisi bisi washabiki wa Yanga 😀
 
Nina thamini uhai wa binadamu mwenzangu ila pale anapoleta ujinga madhara yanayompata ni halali yake.

Mtu alishaachana na nyinyi, mchezaji kaingia uwanjani kicheza mmemzomea vya kutosha mkiwa majukwaani na hakuna alilofanya ila kwa kuona haitoshi bado watu wanaenda kum-attack physically, aiseeh hata mimi nitatumia kilichopo karibu😄.

Kulikuwa na haja gani ya huyo shabiki kwenda kum-attack Morrison, sifa za kijinga zimempatia malipo sahihi.
 

Wachezaji huwa wanaadhibiwa wanapogombana na mashabiki ili kuwalinda wasirudie huo upuuzi kwani kugombana na maahabiki ni kuhatarisha usalama wao. Kwa mfano hiyo jana mashabiki wangependa kumdhuru saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine.
 
Morisson amfuate tu mtu asiyemjua kisha amjeruhi

Huyo shabiki kuna namna katafuta atandikwe alikuwa anawashwa
Tanzania kuna wachezaji wangapi hatuja wahi sikia tukio kama hilo kwanini yeye? una tetea ujinga tu wewe nenda kwenye nchi za watu huko ukafanye hivyo ndio utajua bongo tuna dekezana.
 
Kuna vitu vingine sisi Kama mashabiki tunajitakia ,yule Morrison nae ni mtu damu inachemka unamfuata kwenye gari yake kumtukana Mara mwizi wa magari na ikumbukwe hampo uwanjan maana kila kitu kilishaishia kule uwanjan.sasa kwa akil ya kawaida unakua unataka nini zaidi ya alichokipata huyo shabiki?

Utani upo na haukatazwi lakin sio utani wa kumwattack mtu moja kwa moja hiyo haikubaliki kabisa, na najua wengi watajificha kwenye kivuli cha Morrison ni mtukutu ,hili hata angekua mchezaji gan kafanyiwa lazima tu ugomvi ungetokea.
 
Tanzania kuna wachezaji wangapi hatuja wahi sikia tukio kama hilo kwanini yeye? una tetea ujinga tu wewe nenda kwenye nchi za watu huko ukafanye hivyo ndio utajua bongo tuna dekezana.
Wewe ndie unatetea ujinga .je ni mchezaji gani amewah fuatwa kwenye gari yake na kutukanwa wazwaz ,narudia Tena hakuna utani wa namna hiyo ,huyo shabiki alipaswa akatwe sikio kabisa ili atambue sio vzr kumuattack mtu moja kwa moja .

Umenizomea uwanjan ,sawa ni kazi ya shabik kuzomea ila sio kazi ya shabik kumfuata mchezaji moja kwa moja na kumwita mwizi wa magari ungekua wewe ungekaa kimya tu wakat mtu anakuattack uso kwa uso tena tofaut na mambo ya mpira.
Kwanza huyo Jamaa Ana bahat Sana pia liwe funzo kwa fans wengine wenye viherehere ,utani uwepo lakin angalia na mazingira ya kumtania mtu .
 
Wamemchekea tu huyo , hahitaji kurudishwa kwao akiwa hivyo Tz tutaonekana mabinti wa kazi, arudi na pamba puani
Tuletee hicho kisu alichokuwa nacho Morrison, kisu kilikuwa ni cha shabiki akageuziwa kichapo.

Wamengetoa hata utumbo tu.
 
Kwan ni mwizi kweli?
 
Ahaaaaaa apo sasa wananchi tukanyagie bati, yaani mchezaji prorofeshino anaingia na visu uwanjani?? angechinja mtu ingekuaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…