Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Na sio kujeruhiwa alitakiwa kufa kabisa.Hilo nalo lina ushabiki? mtu kajeruhiwa wewe unaleta upuuzi wako, akili zako kama techco yako
professional player anapaswa aweze kujizuia na matukio ya namna hiyo, sielewi hata bisi bisi itakuwa aliipata wapi. Matukio ya namna hiyo anapaswa kuwaachia akina Yondani na Juma Nyoso.Nina thamini uhai wa binadamu mwenzangu ila pale anapoleta ujinga madhara yanayompata ni halali yake.
Mtu alishaachana na nyinyi, mchezaji kaingia uwanjani kicheza mmemzomea vya kutosha mkiwa majukwaani na hakuna alilofanya ila kwa kuona haitoshi bado watu wanaenda kum-attack physically, aiseeh hata mimi nitatumia kilichopo karibu[emoji1].
Kulikuwa na haja gani ya huyo shabiki kwenda kum-attack Morrison, sifa za kijinga zimempatia malipo sahihi.
Huyo chura mwenzenu alitakiwa kufa kabisa ndio akili ingewakaa sawa.Serikali ina kazi ngumu sana kufuga mtu kama wewe na inakuhudumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mashabiki wanatakiwa kujua mpaka yao mpira ulikuwa umeisha sasa kulikuwa na haja gani ya huyo shabiki wa yanga kufuata Morrison mpaka kwenye gari yake?Morrison naye ni chizi!! Pale aliweka hata maisha yake rehani, huwezi kushindana na mashabiki wote wale na ashukuru wajeda walijitokeza kumuokoa!! Ukipenda kushangiliwa kubali kuzomewa pia, kwa kuwa ndio haki kuu za mashabiki! Morrison anashida yule!! Kule Kigoma alivua nguo akabaki na boksa, South kapigwa marufuku kukanyaga!!
Acha undezi watu tunatofautiana mioyo unafuataje mchezaji nje ya na kuanza kumzomea kwenye gari lake?Tanzania kuna wachezaji wangapi hatuja wahi sikia tukio kama hilo kwanini yeye? una tetea ujinga tu wewe nenda kwenye nchi za watu huko ukafanye hivyo ndio utajua bongo tuna dekezana.
Acha kutetea ujinga hakuna kitu chochote kinacho halalisha kumshambulia mtu ambaye hajakuchokoza.Afukuzwe nchini huyo chizi.
Ona naanza kuua watanzania wenzetu, ipo siku atakuja na bomu uwanjani.
Mnalitetea eti kisa shabiki alimfata, na nyie muungane nae mahabusu huko.
Yeye ni mtu maarufu kufatwa ni lazima, kutukanwa ni lazima yani hiyo haikwepeki.
Ndio maana mastar kwenye mechi kama hizo hukaa mbali na mashabiki kabisaaa kuepuka dhahma kama hizo.
Kama mchezaji huwezi kucontrol hisia zako hufai kua mchezaji, tena unataka kuua kabisa, afukuzwe nchini huyo
Hivi we ungechukua uamuzi gani mtu humjui anakufuata mpaka kwenye gari yako na kuanza kukutukana na kukuita mwizi wa magari ?Mtu akitetea huu ujinga nitamshangaa sana, hata kama kazomewa ila hakupaswa kumjeruhi mtu
Ronardo juzijuzi tu hapa alivunja vunja simu ya shambiki na kumsukuma kwa ajili ya upuuzi kama huu.professional player anapaswa aweze kujizuia na matukio ya namna hiyo, sielewi hata bisi bisi itakuwa aliipata wapi. Matukio ya namna hiyo anapaswa kuwaachia akina Yondani na Juma Nyoso.
Hujasikia wwTanzania kuna wachezaji wangapi hatuja wahi sikia tukio kama hilo kwanini yeye? una tetea ujinga tu wewe nenda kwenye nchi za watu huko ukafanye hivyo ndio utajua bongo tuna dekezana.
Huo ndiyo ukweli wenyewe walimfuata wa nin walichokifuata wamekipata,Eti ujinga wa Morrison kwa nn usiwe wa huyo shabiki, ametokana wapi na Morrison, alichokifata ndio amekipata next time asirudie.
Badilisha simu kwanza uje tuongeeAcha undezi watu tunatofautiana mioyo unafuataje mchezaji nje ya na kuanza kumzomea kwenye gari lake?
Ww una moyo wa uvumilivu mwingine hana.
Kwani uwanjani siwalikuwa wana mzomea ? Mbona hajawashambulia?
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Akikaidi Apigwe2Hilo nalo lina ushabiki? mtu kajeruhiwa wewe unaleta upuuzi wako, akili zako kama techco yako