Morrison agombana na shabiki wa Yanga, adaiwa kutumia kitu chenye ncha kali

Hayupo ndani, Morrison katoka tangu jana. Alishikiliwa na Polisi kumhakikishia usalama tu lakini hakuna kesi yoyote.

Apewe kasi gani ikiwa alikuwa anapambana na wanyang'anyi wa yanga?
Mpe taarifa kua hayopo salama.
Wanajangwani hatuna dogo atafatwa mo arena tumvishe chupi kichwani tena.
 
Kwahiyo huyo morisoni hawezi kukosea ama??
Unaposema hawezi kushambulia bila chanzo ulikuwepo eneo la tukio??

Huyo ni chizi, shauri yenu atakuja igharimu simba kwa nidhamu yake mbovu.
 
Hayupo ndani, Morrison katoka tangu jana. Alishikiliwa na Polisi kumhakikishia usalama tu lakini hakuna kesi yoyote.

Apewe kasi gani ikiwa alikuwa anapambana na wanyang'anyi wa yanga?
Yani ni sawa na huu ujinga uliiongea hapa afu mtu anakuchoma bisi bisi afu watu wanasema ni sawa unastahili.
 
Sisi tuna msapoti Manara
 
Attachments

  • VID-20220430-WA0043.mp4
    2.6 MB
We Matacle usilazimishe tufanane mitazamo.
wewe kama unaona amefanya jambo la kipuuzi sisi wengine tunaona amefanya jambo la kishujaa tena siku nyingine mtu akimletea udwanzi linabidi amkate sikio.
simu yangu na kifurushi ni changu tusipangiane.
 
Simba ndio wametuharibia huyu mtu alipokua Yanga alikua timamu na hatari uwanjani!
 
We Matacle usilazimishe tufanane mitazamo.
wewe kama unaona amefanya jambo la kipuuzi sisi wengine tunaona amefanya jambo la kishujaa tena siku nyingine mtu akimletea udwanzi linabidi amkate sikio.
simu yangu na kifurushi ni changu tusipangiane.
Mihemko na ushabiki maandazi unakusumbua choko ww 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…