Moscow, Urusi: Shambulio la kigaidi laua Watu zaidi ya 130
After the terrorist attack in the Moscow region, the US Department of State again recommended its citizens to leave Russia

TASS propagandists report about it. The U.S. authorities are also investigating whether Americans have suffered as a result of the attack.
 
Nini mbaya mkuu?!
Mara zote huwa unapotea hasa baada ya kuona dalili za Moscow/Russia ( au mshidani yeyote wa nchi za Magharibi) kuanza kufanya vizuri Kijeshi, kiuchumi, kitenolojia na Hata kisiasa. H a ha haahaa!
 
Putin alituambia walikua wanataka kuvuka mpaka kuelekea Ukraine🤷‍♂️

⚡ "Belarusian special services helped the Russian Federation to detain the suspects in the shooting at Crocus City Hall and prevented them from crossing the Russian-Belarusian (!) border", - the ambassador of Belarus to the Russian Federation.

View: https://twitter.com/Maks_NAFO_FELLA/status/1771567930125259151?t=LZph9XRi3bRIUCamdyfNuA&s=19

Poleni!! Maani upotoshaji wenu umefail pakubwa. Askari wa Ukraine aliyefanya ugaidi atakimbiliaje Belarus?
===
1711222132170.png
 
Mara zote huwa unapotea hasa baada ya kuona dalili za Moscow/Russia ( au mshidani yeyote wa nchi za Magharibi) kuanza kufanya vizuri Kijeshi, kiuchumi, kitenolojia na Hata kisiasa. H a ha haahaa!
Ingekua hivyo ungeniona wakati Iran imepigwa mabomu na ISIS au Ukraine ilivyozamisha meli ya Russia hapa majuzi au kipindi hiki ukraine ambacho kila kukicha ukraine inafanya mashambulizi ya drones kwenye vituo vya mafuta ndani ya Urusi.
Sasa Urusi kafanya vizuri wapi kiteknolojia?!. Juzi hapa USA wamejaribu rocket ya starship (Rocket yenye nguvu zaidi kuwahi kutengenezwa tangu Dunia iumbwe) au mapinduzi makubwa yaliyofanywa na NVIDIA kwenye AI, vipi uliniona jukwaani?!
Sina muda wa kushinda JF 24/7.
 
Watu wasiopungua 40 wanahofiwa kufariki dunia kufuatia shambulio la bunduki kweye ukumbi mmoja karibu na Moscow, vyombo vya habari vya Urusi vimeripoti.

Watu wasiopungua wanne waliovalia nguo za kijeshi wamefyatua risasi kwenye ukumbi wa Crocus City uliopo Krasnogorsk. BBC imethibitisha video zilizowekwa kwenye mitandao ya kijamii.

Video hii inaonesha watu wakijificha ndani ya ukumbi huku milio ya risasi ikisikika.

Paa la ukumbi huo, ambao ulikuwa na watu wakisubiri kutazama onyesho la muziki, limeghubikwa na moto na linaanguka, kwa mujibu wa chombo cha habari cha serikali cha Urusi.

Wizara ya mambo ya nje ya Urusi imeelezea tukio hili kuwa “shambulio la kigaidi”.

Polisi maalum wamefika katika eneo la tukio.

Picha za kwenye mitandao ya kijamii zinaonesha watu wenye silaha ndani ya ukumbi, huku vyombo vya habari vikiripoti kuwa bado kuna watu ndani ya ukumbi huo.

Shirika la habari la Tass limesema robo tatu ya ukumbi huo unaungua na moto na paa karibu lote limeshika moto.

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa Urusi Maria Zakharova ametaka jumuiya ya kimataifa kulaani tukio hili ambalo ameliita “la kinyama”

Vyombo vya habari vya Urusi vimeripoti kuwa tiketi 6,200 zilikuwa zimeuzwa kwa ajili ya onyesho ambalo bendi ijulikanayo kama Picnic ilikuwa itumbuize.

Video Courtesy: BBC
Urusi ipo uchi kama ndio hivyo
 
❗️BREAKING❗️

There is information that 🇷🇺Russian ships were struck with 🇺🇦Ukrainian missiles strikes in Sevastopol, Crimea
 
BREAKING: ISIS releases bodycam footage of Moscow terrorist attack.
 

Attachments

  • therealZNO_720p_20240324_013454.mp4
    8 MB
Back
Top Bottom