Nitapata sokoni mizizi/unga zake? Ama niende wapi nipate.
Huu mti hata mitaani upo. Andika moringa kwenye gugo utaiona. Ni miti flanflani wanaoijua wanaipandaga hata katikati ya shamba. Sijawahi kutumia unga. Wake mkuu.. search gugo! Kumbukumbu zako zitakuambia ushawah kukutana nao mahali
 
Ahsante naweza pata hela hivihivi . kuna jamaa yangu nilimwambia hakuna dawa ya namna hiyo maana anayo kama ya kuku kipisi tu
Kwa wanaume ni kawaida sana.. na wengi wetu tuna ngiri ambayo inachangia sana kubonyea kwa hii kitu. Kipindi Cha mvua inarudi ndan hasa... Ni kesi ambayo wengi tunajua hakuna dawa ila fatilia hiyo hapo mkuu itamsaidia sana.
 
Ila MAGAIDI huwa ni waoga sana!kwa nn wanakimbilia kuua sehemu ambazo raia hawana silaha!kama kweli wanajiamini wavamie kituo cha jeshi au polisi!why wanakimbiliaga kuua raia wasio na hatia wala silaha za kujitetea!!COWARD!!
 
Unazungumziaje kitendo cha jeshi la Russia kushambulia mara kwa mara kwa makombora maeneo ya raia wasio na silaha wala hatia??
 
Nao walishikwa kizembe,umeshafanya ugaidi unajiachia kushikwa wkt hataa ukishtakiwa utaishia kunyongwa,wangejimaliza kwa kujibizana kwa mapambano tu kabla hawajashikwa wakiwa hai

Kufanywa kitu mbaya ni haki yao kwa kua nao wameua watu karibia 137
 
Russia kwa hili tukio kapigwa za chembe,anarusha ovyo makombora kiev kuua raia,Wahuni wamemchezea gemu kumuonesha uwezo wa kukufikia kwa Raia wako tunao
Sijui umesoma ulichokoment.
 
Uchunguzi wa FSB unaonesha kuwa waliohusika na ugaidi moscow ni Ukraine na wenzake Marekani na uingereza.watu wasiofikia vizuri wanahusisha ugaidi na uislamu wakati muanzilishi wa kina ISIS ni Marekani na Israel.
 
Uchunguzi wa FSB unaonesha kuwa waliohusika na ugaidi moscow ni Ukraine na wenzake Marekani na uingereza.watu wasiofikia vizuri wanahusisha ugaidi na uislamu wakati muanzilishi wa kina ISIS ni Marekani na Israel.View attachment 2945328
Wahusika wa shambulizi wameshakiri haya madai mengine hayana uthibitisho zaidi ya propaganda tu.
 
Uchunguzi wa FSB unaonesha kuwa waliohusika na ugaidi moscow ni Ukraine na wenzake Marekani na uingereza.watu wasiofikia vizuri wanahusisha ugaidi na uislamu wakati muanzilishi wa kina ISIS ni Marekani na Israel.View attachment 2945328
Hiyo sio official report from officialy site ya russia gov. Jifunze ku seek original info not random sites
 
Uchunguzi wa FSB unaonesha kuwa waliohusika na ugaidi moscow ni Ukraine na wenzake Marekani na uingereza.watu wasiofikia vizuri wanahusisha ugaidi na uislamu wakati muanzilishi wa kina ISIS ni Marekani na Israel.View attachment 2945328
"Russia has put the head of Ukraine Millitary Intel. As a Legitimate target"

Kwa muhusika siyo taarifa nzuri kwake sababu kichwa chake kimewekwa rehani na KGB tayar.

Am still waiting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…