Moscow, Urusi: Shambulio la kigaidi laua Watu zaidi ya 130
Nitapata sokoni mizizi/unga zake? Ama niende wapi nipate.
Huu mti hata mitaani upo. Andika moringa kwenye gugo utaiona. Ni miti flanflani wanaoijua wanaipandaga hata katikati ya shamba. Sijawahi kutumia unga. Wake mkuu.. search gugo! Kumbukumbu zako zitakuambia ushawah kukutana nao mahali
 
Ahsante naweza pata hela hivihivi . kuna jamaa yangu nilimwambia hakuna dawa ya namna hiyo maana anayo kama ya kuku kipisi tu
Kwa wanaume ni kawaida sana.. na wengi wetu tuna ngiri ambayo inachangia sana kubonyea kwa hii kitu. Kipindi Cha mvua inarudi ndan hasa... Ni kesi ambayo wengi tunajua hakuna dawa ila fatilia hiyo hapo mkuu itamsaidia sana.
 
Watu 115 waliuawa na zaidi ya 140 kujeruhiwa wakati watu wenye silaha waliposhambulia ukumbi wa tamasha uliojaa watu eneo la pembeni mwa Moscow, Urusi inasema.

Moto mkubwa uliteketeza paa la jengo hilo na video ya kusisimua inaonyesha watu waliokuwa kwenye tamasha wakipata hifadhi huku milio ya risasi na milipuko ikiendelea.

Rais wa Urusi Vladimir Putin anasema washambuliaji wote wanne wamekamatwa, na kuwa washukiwa walikuwa wakijaribu kutoroka kwenda Ukraine - Kyiv inasema madai ya kuhusika kwa Ukraine ni "ya kipuuzi".
Putin anaita shambulio hilo "kitendo cha kigaidi cha kikatili" na kutangaza siku ya maombolezo ya kitaifa kwa Machi 24.

Wakazi wa Moscow wanapanga foleni kutoa damu kwa waliojeruhiwa na maua yamewekwa kama heshima katika eneo la shambulio.

Marekani inasema ni ya kuaminika kwamba kundi la Islamic State linaweza kuwa nyuma ya shambulio, baada ya kundi hilo kudai kuhusika. Urusi haijatoa maoni.

=====

At least 115 people were killed and more than 140 injured when gunmen attacked a packed concert venue on the outskirts of Moscow, Russia says

A large fire engulfed the roof of the complex and dramatic video shows panicked concertgoers taking cover as shots and explosions ring out

Russian President Vladimir Putin says all four gunmen have been arrested, and that the suspects were trying to flee to Ukraine - Kyiv says allegations of Ukrainian involvement are "absurd"

Putin calls the attack a "barbaric terrorist act" and announces a day of national mourning for 24 March

Muscovites are queuing to give blood for those injured and flower tributes have been placed at the scene of the attack

The US says it's credible that the Islamic State group could be behind the attack, after the group said it did it. Russia has not commented

BBC
Ila MAGAIDI huwa ni waoga sana!kwa nn wanakimbilia kuua sehemu ambazo raia hawana silaha!kama kweli wanajiamini wavamie kituo cha jeshi au polisi!why wanakimbiliaga kuua raia wasio na hatia wala silaha za kujitetea!!COWARD!!
 
Ila MAGAIDI huwa ni waoga sana!kwa nn wanakimbilia kuua sehemu ambazo raia hawana silaha!kama kweli wanajiamini wavamie kituo cha jeshi au polisi!why wanakimbiliaga kuua raia wasio na hatia wala silaha za kujitetea!!COWARD!!
Unazungumziaje kitendo cha jeshi la Russia kushambulia mara kwa mara kwa makombora maeneo ya raia wasio na silaha wala hatia??
 
Jamaa watafanywa kitu mbaya kabisa, check advertisment kwanza

Nao walishikwa kizembe,umeshafanya ugaidi unajiachia kushikwa wkt hataa ukishtakiwa utaishia kunyongwa,wangejimaliza kwa kujibizana kwa mapambano tu kabla hawajashikwa wakiwa hai

Kufanywa kitu mbaya ni haki yao kwa kua nao wameua watu karibia 137
 
Russia kwa hili tukio kapigwa za chembe,anarusha ovyo makombora kiev kuua raia,Wahuni wamemchezea gemu kumuonesha uwezo wa kukufikia kwa Raia wako tunao
Sijui umesoma ulichokoment.
 
Uchunguzi wa FSB unaonesha kuwa waliohusika na ugaidi moscow ni Ukraine na wenzake Marekani na uingereza.watu wasiofikia vizuri wanahusisha ugaidi na uislamu wakati muanzilishi wa kina ISIS ni Marekani na Israel.
Screenshot_20240326-191111.jpg
 
Uchunguzi wa FSB unaonesha kuwa waliohusika na ugaidi moscow ni Ukraine na wenzake Marekani na uingereza.watu wasiofikia vizuri wanahusisha ugaidi na uislamu wakati muanzilishi wa kina ISIS ni Marekani na Israel.View attachment 2945328
Wahusika wa shambulizi wameshakiri haya madai mengine hayana uthibitisho zaidi ya propaganda tu.
 
Uchunguzi wa FSB unaonesha kuwa waliohusika na ugaidi moscow ni Ukraine na wenzake Marekani na uingereza.watu wasiofikia vizuri wanahusisha ugaidi na uislamu wakati muanzilishi wa kina ISIS ni Marekani na Israel.View attachment 2945328
Hiyo sio official report from officialy site ya russia gov. Jifunze ku seek original info not random sites
 
Uchunguzi wa FSB unaonesha kuwa waliohusika na ugaidi moscow ni Ukraine na wenzake Marekani na uingereza.watu wasiofikia vizuri wanahusisha ugaidi na uislamu wakati muanzilishi wa kina ISIS ni Marekani na Israel.View attachment 2945328
"Russia has put the head of Ukraine Millitary Intel. As a Legitimate target"

Kwa muhusika siyo taarifa nzuri kwake sababu kichwa chake kimewekwa rehani na KGB tayar.

Am still waiting
 
Back
Top Bottom