Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitapata sokoni mizizi/unga zake? Ama niende wapi nipate.Unaitwa Mlonge au moringa
Siku zote nitaipinga Israel Kwa ushoga wa wakristoSiku zote nitaiunga Israel kwenye mammbano dhidi ya Ugaidi wa Kiisalam
Huu mti hata mitaani upo. Andika moringa kwenye gugo utaiona. Ni miti flanflani wanaoijua wanaipandaga hata katikati ya shamba. Sijawahi kutumia unga. Wake mkuu.. search gugo! Kumbukumbu zako zitakuambia ushawah kukutana nao mahaliNitapata sokoni mizizi/unga zake? Ama niende wapi nipate.
Kwa wanaume ni kawaida sana.. na wengi wetu tuna ngiri ambayo inachangia sana kubonyea kwa hii kitu. Kipindi Cha mvua inarudi ndan hasa... Ni kesi ambayo wengi tunajua hakuna dawa ila fatilia hiyo hapo mkuu itamsaidia sana.Ahsante naweza pata hela hivihivi . kuna jamaa yangu nilimwambia hakuna dawa ya namna hiyo maana anayo kama ya kuku kipisi tu
Ila MAGAIDI huwa ni waoga sana!kwa nn wanakimbilia kuua sehemu ambazo raia hawana silaha!kama kweli wanajiamini wavamie kituo cha jeshi au polisi!why wanakimbiliaga kuua raia wasio na hatia wala silaha za kujitetea!!COWARD!!Watu 115 waliuawa na zaidi ya 140 kujeruhiwa wakati watu wenye silaha waliposhambulia ukumbi wa tamasha uliojaa watu eneo la pembeni mwa Moscow, Urusi inasema.
Moto mkubwa uliteketeza paa la jengo hilo na video ya kusisimua inaonyesha watu waliokuwa kwenye tamasha wakipata hifadhi huku milio ya risasi na milipuko ikiendelea.
Rais wa Urusi Vladimir Putin anasema washambuliaji wote wanne wamekamatwa, na kuwa washukiwa walikuwa wakijaribu kutoroka kwenda Ukraine - Kyiv inasema madai ya kuhusika kwa Ukraine ni "ya kipuuzi".
Putin anaita shambulio hilo "kitendo cha kigaidi cha kikatili" na kutangaza siku ya maombolezo ya kitaifa kwa Machi 24.
Wakazi wa Moscow wanapanga foleni kutoa damu kwa waliojeruhiwa na maua yamewekwa kama heshima katika eneo la shambulio.
Marekani inasema ni ya kuaminika kwamba kundi la Islamic State linaweza kuwa nyuma ya shambulio, baada ya kundi hilo kudai kuhusika. Urusi haijatoa maoni.
=====
At least 115 people were killed and more than 140 injured when gunmen attacked a packed concert venue on the outskirts of Moscow, Russia says
A large fire engulfed the roof of the complex and dramatic video shows panicked concertgoers taking cover as shots and explosions ring out
Russian President Vladimir Putin says all four gunmen have been arrested, and that the suspects were trying to flee to Ukraine - Kyiv says allegations of Ukrainian involvement are "absurd"
Putin calls the attack a "barbaric terrorist act" and announces a day of national mourning for 24 March
Muscovites are queuing to give blood for those injured and flower tributes have been placed at the scene of the attack
The US says it's credible that the Islamic State group could be behind the attack, after the group said it did it. Russia has not commented
BBC
Waliivamia Ukraine bila kurushiwa hata jiwe.=========================
Richard Gagnija TUJITEGEMEE FRANC THE GREAT
Warusi wanatumia hili tukio kuhalalisha uvamizi huko Ukraine.
Unazungumziaje kitendo cha jeshi la Russia kushambulia mara kwa mara kwa makombora maeneo ya raia wasio na silaha wala hatia??Ila MAGAIDI huwa ni waoga sana!kwa nn wanakimbilia kuua sehemu ambazo raia hawana silaha!kama kweli wanajiamini wavamie kituo cha jeshi au polisi!why wanakimbiliaga kuua raia wasio na hatia wala silaha za kujitetea!!COWARD!!
Nao walishikwa kizembe,umeshafanya ugaidi unajiachia kushikwa wkt hataa ukishtakiwa utaishia kunyongwa,wangejimaliza kwa kujibizana kwa mapambano tu kabla hawajashikwa wakiwa haiJamaa watafanywa kitu mbaya kabisa, check advertisment kwanza
![]()
UK Home | Daily Mail Online
MailOnline - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from MailOnline, Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.www.dailymail.co.uk
Sijui umesoma ulichokoment.Russia kwa hili tukio kapigwa za chembe,anarusha ovyo makombora kiev kuua raia,Wahuni wamemchezea gemu kumuonesha uwezo wa kukufikia kwa Raia wako tunao
😄😄Ahsante naweza pata hela hivihivi . kuna jamaa yangu nilimwambia hakuna dawa ya namna hiyo maana anayo kama ya kuku kipisi tu
wote wale waleUnazungumziaje kitendo cha jeshi la Russia kushambulia mara kwa mara kwa makombora maeneo ya raia wasio na silaha wala hatia??
Mmbona humpigi mtume muhamadi kwa kufanya ushoga na hassanSiku zote nitaipinga Israel Kwa ushoga wa wakristo
Wahusika wa shambulizi wameshakiri haya madai mengine hayana uthibitisho zaidi ya propaganda tu.Uchunguzi wa FSB unaonesha kuwa waliohusika na ugaidi moscow ni Ukraine na wenzake Marekani na uingereza.watu wasiofikia vizuri wanahusisha ugaidi na uislamu wakati muanzilishi wa kina ISIS ni Marekani na Israel.View attachment 2945328
Hiyo sio official report from officialy site ya russia gov. Jifunze ku seek original info not random sitesUchunguzi wa FSB unaonesha kuwa waliohusika na ugaidi moscow ni Ukraine na wenzake Marekani na uingereza.watu wasiofikia vizuri wanahusisha ugaidi na uislamu wakati muanzilishi wa kina ISIS ni Marekani na Israel.View attachment 2945328
"Russia has put the head of Ukraine Millitary Intel. As a Legitimate target"Uchunguzi wa FSB unaonesha kuwa waliohusika na ugaidi moscow ni Ukraine na wenzake Marekani na uingereza.watu wasiofikia vizuri wanahusisha ugaidi na uislamu wakati muanzilishi wa kina ISIS ni Marekani na Israel.View attachment 2945328