BREAKING:

Incoming reports of at least 4 terrorists having managed to escape from the Crocus City Hall near Moscow after the terrorist attack that killed at least 60 people.
 
Magaidi ya NATO yameshambulia Urusi kweli.
Sidhani kama ni wao, probably no vikundi hasimu vya Putin au Russia kwa ujumla. Si NATO si RUSSIA anayeweza kufadhili magaidi hili yadhuru upande mwingine huwa wanamalizana huku kwenye ground lakini sio ndani kabisa ya nchi zao
 
Sidhani kama ni wao, probably no vikundi hasimu vya Putin au Russia kwa ujumla. Si NATO si RUSSIA anayeweza kufadhili magaidi hili yadhuru upande mwingine
Vikundi hasimu vya Russia? Una i-doubt intelligence service ya Russia from within?

Hapo mwenye uwezo wa ku plot tukio kama hilo ni NATO tu hata kama kuna mahasimu wa Russia from within ni lazima NATO wanahusika kuwasaidia.
 
⚡Ukrainian intelligence agency spokesperson Tusov tells Ukrainska Pravda news outlet: Events in Moscow are a ‘conscious provocation by Russian special services’ — Reuters
 
Sidhani kama ni wao, probably no vikundi hasimu vya Putin au Russia kwa ujumla. Si NATO si RUSSIA anayeweza kufadhili magaidi hili yadhuru upande mwingine huwa wanamalizana huku kwenye ground lakini sio ndani kabisa ya nchi zao
Ulaya hamna magaidi hao ni Hamas watakuwa.
 
Vikundi hasimu vya Russia? Una i-doubt intelligence service ya Russia from within?

Hapo mwenye uwezo wa ku plot tukio kama hilo ni NATO tu hata kama kuna mahasimu wa Russia from within ni lazima NATO wanahusika kuwasaidia.
Lakini walishaonywa
 
Attachments

  • 20240322_222644.jpg
    107.9 KB · Views: 4
Russia inaendesha ugaidi na mauaji huko Ukraine huku mlango wake wa nyuma ukiwa wazi.

Hatimaye magaidi halisi wamejipenyeza mpaka 'chumbani' kwa Supa-pawa .
 
THIS ALERT WAS PUBLISHED BY THE US EMBASSY IN RUSSIA 2 WEEKS AGO.
TAHADHARI HII ILICHAPISHWA NA UBALOZI WA MAREKANI NCHINI URUSI WIKI 2 ILIYOPITA

The Embassy is monitoring reports that extremists have imminent plans to target large gatherings in Moscow, to include concerts, and U.S. citizens should be advised to
avoid large gatherings over the next 48 hours.
Wqlijuaje?

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1771254913634296186?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…