Moscow, Urusi: Shambulio la kigaidi laua Watu zaidi ya 130
Sasa Mrusi chini ya Putin mbabe wa dunia kiboko ya ukrain alishindwa nini kung’amua haya mpaka asubiri kuambiwa na Mmarikan na bado kupuuzia na yamemkuta kweli!

Yumkini Russia ni failed state kwenye masuala mazima ya intelijensia
 
Inawezekana ikawa false flag OP wapate sababu ya kuipiga ukraine kwa nyuklia.
Hii issue ya "false flag operation" inazunguka sana mitandaoni, na hasa kutokana na historia ya siasa za Urusi. Imeturudisha katika mashambulizi ya mwaka 1999 kwenye majengo ya kiraia yaliyochochea uvamizi wa pili wa Chechnya.

Kwa mujibu wa wanazuoni mbalimbali pamoja na baadhi ya maafisa wa zamani wa FSB, serikali ya Urusi pamoja na shirika la ujasusi la Urusi (FSB) lilihusika katika yale mashambulizi ili kujenga uhalali wa uvamizi wa Chechnya.
 
Putin anapenda sana hiyo michezo,sio ajabu kuhisiwa hivyo.
 
THIS ALERT WAS PUBLISHED BY THE US EMBASSY IN RUSSIA 2 WEEKS AGO.
TAHADHARI HII ILICHAPISHWA NA UBALOZI WA MAREKANI NCHINI URUSI WIKI 2 ILIYOPITA

The Embassy is monitoring reports that extremists have imminent plans to target large gatherings in Moscow, to include concerts, and U.S. citizens should be advised to
avoid large gatherings over the next 48 hours.
Wqlijuaje?

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1771254913634296186?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Mwishoni mwa 2021, Marekani ilitangaza kuwa ina taarifa za uhakika kuwa Urusi inataka kuivamia Ukraine. Putin akasema huo ni uwongo, lakini sote tunajua yaliyotokea. CIA wana network nzuri sana ya mashushushu, siyo blah blah.

Mara nyingi sana wamekuwa wanatoa taarifa mbalimbali za ughaidi duniani kote.
 
Taarifa za 9/11 ?
 
we umetoka, unaenda kusherehekea kwenye hall, huna ugomvi nq mtu, hujaiba wala kumdhurumu mtu, ghafla magaidi wanakuja wanapiga risasi hivyo. Zaidi ya watu arobaini wanauwawa na wengine kujeruhiwa. why?

Hili shambulio lazima liwe na mkono wa CIA na MOSSAD. evil twin
 
Vikundi hasimu vya Russia? Una i-doubt intelligence service ya Russia from within?

Hapo mwenye uwezo wa ku plot tukio kama hilo ni NATO tu hata kama kuna mahasimu wa Russia from within ni lazima NATO wanahusika kuwasaidia.
Hiyo ni timeline ya historia ya uhalifu wa kigaidi Russia, shambulio lililotokea leo muda huu limeshakuwa updated na wahusika ndio hao unaowaona hao, Sijajua kama NATO na IS kama wana mahusiano ya moja kwa moja au vipi
Screenshot_20240322-224739.png
 
Attachments

  • Screenshot_20240322-224739.png
    Screenshot_20240322-224739.png
    155.3 KB · Views: 3
Back
Top Bottom