Moscow, Urusi: Shambulio la kigaidi laua Watu zaidi ya 130
The criminals responsible for the Crocus City Hall terrorist attack intended to cross the border between Russia and Ukraine and had contacts on the Ukrainian side, the FSB said.
 
Hili tukio litaleta shida kubwa sana.
Lakini, ISIS wanasema wamehusika na tukio hili. Kwanini waishambulie Russia? Ndugu zao katika imani kila siku wanapukutishwa pale Gaza na Israel huku USA akiikingia kifua Israel kuendeleza kichapo kwa waislamu hapo Gaza, kwanini waishambulie Russia ambayo hata kwenye mgogoro wa Gaza anaonekana kuwa upande wa Palestine?
 
Syria.
 
The Ministry of Internal Affairs of Tajikistan has released a statement saying that the 3 Tajik nationals whose photos have been circulating online after the terror attack in Moscow aren’t guilty.

The ministry says 2 of them are currently in Tajikistan & 1 works in Samara

🇹🇯
 
Fafanua kidogo mkongwe, sipo vizuri sana kwenye Geopolitics!
Nini kimetokea Syria kinachowafanya ISIS wafufuke ghafla na kuishambulia Russia, tena katika kipindi hiki!?
-Bila Russia Leo hii Bashir Assad asingekuwa Rais wa Syria
-Isis huko Syria ndio kama makao makuu Yao na ndiko wanapambana na serikali ya Assad japo siku hizi wamepunguzwa nguvu pakubwa.
 
The Ministry of Internal Affairs of Tajikistan has released a statement saying that the 3 Tajik nationals whose photos have been circulating online after the terror attack in Moscow aren’t guilty.

The ministry says 2 of them are currently in Tajikistan & 1 works in Samara

🇹🇯
Duh njia ya mwongo kweli fupi🤣🤣🤣
 
😂😂😂Hawa jamaa wanatafuta kila mbinu kumuangushia Ukraine jumba bovu

BREAKING: Russian Foreign Ministry spokesperson says that 'through the hands of the West, Ukraine has been turning into a center for the spread of terrorism for ten years'.
 
Binafsi sikutegemea Russia litokee hilo tukio la ajabu kama hilo.Kwa jinsi ilivyo humu Russia ninayo ijua mimi.😀😀😀

👇👇👇👇😆😁😆😁🤣​

Russia assessed US intelligence, but it was ‘not specific’: Russian official​

Russia received an intelligence warning from the US about potential attacks in Moscow, but the information “did not contain specifics”, a Russian security source has told Russia’s RIA Novosti news agency.
After the Moscow attack, US National Security Council spokeswoman Adrienne Watson said the US government had earlier this month passed on intelligence to Russia about a “planned terrorist attack” in Moscow “potentially targeting large gatherings, to include concerts”.

Warusi wakiri waliambiwa kuna kitu kizito kinakuja ila walitaka watafuniwe kabisaa 🤣😂
 
BREAKING:

Video of on-site interrogation after the arrest of one of the alleged terrorists.

He says he arrived in Russia from Turkey and was to receive 500 000 rubles for the crime (USD 5000)

  • Why did you shoot people?
  • For money, half a million rubles.

"They told me to go and kill people, no matter what kind."

He says he was contacted by the assistant of an Islamist cleric whom he follows on Telegram

View: https://twitter.com/visegrad24/status/1771488432792940935?t=uXIOscDqowVDu4J-2KeORA&s=19
 
👇👇👇👇😆😁😆😁🤣​

Russia assessed US intelligence, but it was ‘not specific’: Russian official​

Russia received an intelligence warning from the US about potential attacks in Moscow, but the information “did not contain specifics”, a Russian security source has told Russia’s RIA Novosti news agency.
After the Moscow attack, US National Security Council spokeswoman Adrienne Watson said the US government had earlier this month passed on intelligence to Russia about a “planned terrorist attack” in Moscow “potentially targeting large gatherings, to include concerts”.

Warusi wakiri waliambiwa kuna kitu kizito kinakuja ila walitaka watafuniwe kabisaa 🤣😂
Kwahiyo walitaka kutafuniwa kila kitu😂😂😂
 
Magaidi wameshakamatwa.

Namna ya kuwa interrogate na majibu ya hiyo interrogation wanajua wenyewe Russia.

Wa Bongo mkafanye kazi Sasa. Muache kufatilia mambo yasiyowahusu.

Kumbukeni Gavana wa BOT amewasisitiza mfanye kazi na muache kulia-lia kwamba maisha ni magumu.
 
Back
Top Bottom