Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye hili kukiri ni ISIS russia hawez kamwe maana atajiaibisha hivyo lazima ukraine ahusishwe hata kwa ushahidi wa kubumba nchi zenye asili ya ukomunisti washazoea uwongouwongo hiyo ni part ya DNA yao.Russia always finds a way to shift blame to Ukraine.
Syria.Hili tukio litaleta shida kubwa sana.
Lakini, ISIS wanasema wamehusika na tukio hili. Kwanini waishambulie Russia? Ndugu zao katika imani kila siku wanapukutishwa pale Gaza na Israel huku USA akiikingia kifua Israel kuendeleza kichapo kwa waislamu hapo Gaza, kwanini waishambulie Russia ambayo hata kwenye mgogoro wa Gaza anaonekana kuwa upande wa Palestine?
Fafanua kidogo mkongwe, sipo vizuri sana kwenye Geopolitics!Syria.
Yap!Watu wameonesha kuwa inawezekana kupenya Urusi.
Mihemko mingi sana ,ila Wajomba wamepenya Moscow.
Na wamepanyea kidogo😀😀😀😀
Binafsi sikutegemea Russia litokee hilo tukio la ajabu kama hilo.Kwa jinsi ilivyo humu Russia ninayo ijua mimi.😀😀😀Yap!
Wapi ambako tukio la aina hii haliwezi kutokea!?
-Bila Russia Leo hii Bashir Assad asingekuwa Rais wa SyriaFafanua kidogo mkongwe, sipo vizuri sana kwenye Geopolitics!
Nini kimetokea Syria kinachowafanya ISIS wafufuke ghafla na kuishambulia Russia, tena katika kipindi hiki!?
Duh njia ya mwongo kweli fupi🤣🤣🤣The Ministry of Internal Affairs of Tajikistan has released a statement saying that the 3 Tajik nationals whose photos have been circulating online after the terror attack in Moscow aren’t guilty.
The ministry says 2 of them are currently in Tajikistan & 1 works in Samara
🇹🇯
Binafsi sikutegemea Russia litokee hilo tukio la ajabu kama hilo.Kwa jinsi ilivyo humu Russia ninayo ijua mimi.😀😀😀
Kwahiyo walitaka kutafuniwa kila kitu😂😂😂👇👇👇👇😆😁😆😁🤣
Russia assessed US intelligence, but it was ‘not specific’: Russian official
Russia received an intelligence warning from the US about potential attacks in Moscow, but the information “did not contain specifics”, a Russian security source has told Russia’s RIA Novosti news agency.
After the Moscow attack, US National Security Council spokeswoman Adrienne Watson said the US government had earlier this month passed on intelligence to Russia about a “planned terrorist attack” in Moscow “potentially targeting large gatherings, to include concerts”.
Warusi wakiri waliambiwa kuna kitu kizito kinakuja ila walitaka watafuniwe kabisaa 🤣😂
Ni ushabiki maandazi tu. Tukio kama hili linaweza kutokea nchi yoyote!Binafsi sikutegemea Russia litokee hilo tukio la ajabu kama hilo.Kwa jinsi ilivyo humu Russia ninayo ijua mimi.😀😀😀