Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani mkuu...Picha
Kumbe nawewe umeshtukia eeehhhhSema unaomba msaaada mambo ya kusema anaomba msaada wakati mgonjwa ni wewe...tutashindwa kukusaidia sasa
Mgonjwa muoongo sana
UshimenSamahani mkuu...
Hinsia yako tafadhali...🤔
Ila kweli hapo kajitumiaAlafu kijana....
Ebu acha basi mikato ya kizamani man, yaani una jiandikia sms wewe mwenyewe then inai screenshot, kisha unaleta hapa ili tujadili unavyo jidanganya...🤨
😂Naona Ukraine wangesitisha kipigo kwa Sasa Ili urusi apate muda wa kuomboleza na kuzika maiti zake.
This is not fair ☹️☹️
chanzo cha shabulio ni nini?Nimeshaona source za kuaminika ziki report tukio hilo
![]()
Putin wishes ‘speedy recovery’ to victims of Moscow shooting – as it happened
Terror group says it was behind attack as authorities say number of dead could rise; gunmen appear not to have been capturedwww.theguardian.com
Ukraine haihusiki kabisaDuh ina maana Ukraine imeanza kutumia mbinu za namna hii?
Mbona uzi umeletwa Thread ya vita ya Russia, daah
Inaongeza ongeza mana I akunjua mishipa kwa kunisaidia haja ndogo mara kwa mara. Nadhani una uelewa kuhusu kegel kwa wanaume ile ya kubana mkojo...Itamsaidia nini
Moderator imekuaje tenaMbona uzi umeletwa Thread ya vita ya Russia, daah
Tafadhali usiliweke mkuu. Baada ya wewe kuandika hapa, imebidi nizame gugo kugugo. Nimeelewa maajabu yake. Mleta mada achukue hizo notesInaongeza ongeza mana I akunjua mishipa kwa kunisaidia haja ndogo mara kwa mara. Nadhani una uelewa kuhusu kegel kwa wanaume ile ya kubana mkojo...
Mm nimetumiaga hii mana pamoja kuwa na uume wa kawaida nilikuwa nakuona mdogo mana Mandingo ndo alikuwa role model wangu kwenye hii tasnia ..
Ofkooz imenisaidia sna au niliweke hili hogo hapahapa?