Ni mwaka wa 2 sasa kinanuka.Tayari kimeanza kunuka huko Kyiv
BREAKING: Explosions heard in Kyiv amid Russian missile attack
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mwaka wa 2 sasa kinanuka.Tayari kimeanza kunuka huko Kyiv
BREAKING: Explosions heard in Kyiv amid Russian missile attack
Damu zinamwagika mwaka wa 2 sasaNi mwaka wa 2 sasa kinanuka.
Unaitwa Mlonge au moringaSasa mbona hutaji huo mti?
Mlongemti gani mkuu tupeane kodi
Putin aondoe majeshi yake Syria, amemsaidia Assad kuua raia wengi sana wa ISIS.ISIS Ana shida gani na Putin!??
Hapa Mmarekani atueleze vizuri.
Daaah mamaae hawa majamaa nimenyooshaa mikono, washikaji wana mapumbu ya Chuma, hivi unawezaje lichokonoa lidude kama liRussia... Mazee hatari sanaBREAKING: ISIS releases bodycam footage of Moscow terrorist attack.
Na Marekani wameua wananchi wengi Iraq,Syria,Somalia Yugoslavia n.kPutin aondoe majeshi yake Syria, amemsaidia Assad kuua raia wengi sana wa ISIS.
Ruzzia anawatisha nyie tu Wamatumbi na story zenu za vijiweni, magaidi wanamuona kama mchumba tu.Daaah mamaae hawa majamaa nimenyooshaa mikono, washikaji wana mapumbu ya Chuma, hivi unawezaje lichokonoa lidude kama liRussia... Mazee hatari sana
Let them come alive for real battle,Hao magaidi wenzako wa ISIS,walipigwa Kule Syria na URUSI wakakaa chiniRuzzia anawatisha nyie tu Wamatumbi na story zenu za vijiweni, magaidi wanamuona kama mchumba tu.
Hii Dunia kuna wahuni,vichwa vimeshavurugwaDaaah mamaae hawa majamaa nimenyooshaa mikono, washikaji wana mapumbu ya Chuma, hivi unawezaje lichokonoa lidude kama liRussia... Mazee hatari sana
Amalizane kwanza na Ukraine, wiki moja imegeuka kuwa mwaka wa tatu huu bado wanamenyana.Let them come alive for real battle,Hao magaidi wenzako wa ISIS,walipigwa Kule Syria na URUSI wakakaa chini
Haikuwa mabishano au mashindano ya nani ameua raia wengi, nimemjibu aliyeuliza ISIS wana shida gani na Ruzzia hadi wawashambulie.Na Marekani wameua wananchi wengi Iraq,Syria,Somalia Yugoslavia n.k
Hii Dunia kuna wahuni,vichwa vimeshavurugwa
Jiulize Hao magaidi wamejiamini vip kusafiri mpk Kremlin, Russia kupiga tukio na kuwasha gari kuanza Safari ya kutoroka km karibia 520
Walibakiza km 150 tu,wafike mpakani wasingepatikana tena
Raia zinajiamini kupita kiasi,ukizubaa unazikuta chumbani kwako 😄
NEW: Vladimir Putin suggests Ukraine was helping the
terrorists who conducted the Moscow Concert Hall attack.
“All the four perpetrators were directly involved who were gunning
people down, killing people, were found and apprehended.”
“They were moving towards the border with Ukraine, and we
have data that suggests that they were about to be moved
towards the territory of Ukraine by those in Ukraine.”
“Our military services, our emergency services, everyone is,
our investigators are working on finding out the orchestrators of this terrorist attack.
Those who gave them transportation, who created, who gave them weapons…”
Wewe ndio uamueSio kujiamini ni kujitoa mhanga tu.Hata wewe unaweza ukaenda ikulu ukiamua.
Ila ukumbuke Wazee wa kazi wameshindwa miaka 2 sasaKWA WATU WALIOSOMEA CUBA TU
Hii hapa chini ni Statement ya Putin kwa ufupi hapo jana
Wiki:NEW: Vladimir Putin suggests Ukraine was helping the terrorists who conducted the Moscow Concert Hall attack. “All the four perpetrators were directly involved who were gunning people down, killing people, were found and apprehended.” “They were moving towards the border with Ukraine, and we have data that suggests that they were about to be moved towards the territory of Ukraine by those in Ukraine.” “Our military services, our emergency services, everyone is, our investigators are working on finding out the orchestrators of this terrorist attack. Those who gave them transportation, who created, who gave them weapons…”
SHIFTING OF PLAN
Kutokana na Statement hiyo naona kabisa stage inayofuata ni kwenda kuwasaka watu waliokuwa wanawasiliana na magaidi haya yaliyokamatwa yakiwa yanakimbilia huko Ukraine.
Statement ya Russia hazijaweka conclusion kuwa hao waliokamatwa kuwa ni magaidi wa Ukraine au la, bali zimewekwa passports za watu zikiwa zimeandikwa kuwa ni raia wa Ukraine.
View attachment 2943218
Tayari magaidi wameshafahamika uraia wao kuwa ni Ukraine lakini bado haijawekwa wazi kuwa ni nani waliokuwa wanawasiliana nao huko Ukraine.
TAARIFA YA USA KUHUSU KUTOKEA UGAIDI NDANI YA RUSSIA
Kwa upande mmoja wanaoshabikia USA wanaweza kusema wapo mbele kuwa walitoa taarifa kuwa kutatokea na ugaidi. Lakini kwa uhalisia ni kwamba, kutokana na jambo hilo kutokea inaonekana wazi kuwa aliyefanya mpango huo watakuwa ni watu wa USA.
Kwenye siasa za kidunia inaendelea kumpa credit Russia na kuonekeana kuwa yeye ni innocent
UJASUSI NA SIASA ZA KIMATAIFA
Kama yale yaliyotokea kipindi cha vita ndani ya Chechenia na kutokea kwa ugaidi ndani ya Moscow naona yanajirudia kwa namna yake. Ugaidi wa wachechen ulimpaisha Putin kisiasa na kiliwezesha kumng'oa Rais wa Urusi kipindi kile.
Kwakuwa Urusi amekamilisha lengo lake nambari moja. Kunakuwa na mwendelezo wa lengo lingine la pili. Ni kwenda kuwasaka wale walikuwa wanawasiliana na Magaidi yaliyoingia Urusi. Wakati huo huo wakizitumia taarifa za USA kama justification kuwa kuna supporter wa magaidi wamo ndani ya Ukraine.
KUHUSU ISIS
Tayari Trump alisema kuwa aliyeunda kundi la kigaidi la ISIS ni Obama. Maana yake kikundi hicho cha kigaidi ni cha USA. Kitendo cha ISIS kusema kuwa wao ndio wanahusika, maana yake USA ndiye aliyehusika na Ugaidi huo.
Iwe hao ISIS wamekuwa staged au wamehusika kweli lakini uhalisia utabaki kuwa USA ndiye aliyefanya sponsorship ya ugaidi huo kwenye upande wa international politics.
Kwa ushahidi huo wote Russia wanaweza kwenda kwenye UN security Council na kushitaki kuwa wamevamiwa na magaidi kutoka Ukraine na walikuwa wanawasiliana wa watu wakiwa ndani na Ukraine. Kwa security ya nchi yao wataomba permission ya kwenda kuwasaka.
Obvious USA, UK na France watapinga. Lakini Russia ataonesha ushahidi kuwa USA ana husika katika hilo kwahiyo hatakuwa na haki ya kukataa. Kura ya Veto itapigwa na Russia ataruhusiwa kwenda kusaka magaidi ndani ya Ukraine.
HITIMISHO
Hili suala lipo Staged na Russia kutokana na matukio yaliyojitokeza na kukusanya ushahidi mwingi. Kwahiyo wazo la Ukraine kuingia kwenye NATO iwe kwa shortcut au kwa namna nyingine litakuwa limeanza kuota mbawa maana ndani ya Ukraine kuna kukundi cha Ugaidi. Kwa sasa linasubiriwa JINA tu la kikundi hicho cha Ugaidi. Wale waliokamatwa wanne watataja kundi hilo. Na tayari wazee wa kazi wataingia ndani ya Ukraine kulisaka kundi hilo.
Je Ulisoma Cuba?Ila ukumbuke Wazee wa kazi wameshindwa miaka 2 sasa
Sio rahisi hivo,wangeshaingia kitambo
Umesahau Ushoga, Unazi na ISIS pia vulikuwa unatengenezewa huko Ukraine, Mtume wenu Putin kuna wakati alisema imebidi uvamizi kupambana na Satanism [emoji16]Je Ulisoma Cuba?
Mission Accomplishes by Russia
1. Biological Laboratories zilizokuwa zinafanyika huko Ukraine ziliangamiza. Huko ndipo Covid-19 ilikuwa inatengenezwa. Kwa ambao hawajasoma Cuba leo tunawafumbua macho.
2. Strategy ya NATO kumuingiza Ukraine ilikwama na ndoto imezimika kama mshumaa.
3. Eneo lililokwamatwa na Russsia kwa sasa ndani ya Ukraine ni zaidi ya UK.
4. Ukraine ilikuwa tishio kwa Dunia maana ilikuwa inamiriki silaha za kumwaga. Hakuna nchi ulaya zaidi ya Russia angeweza kuivimbia Ukraine. Kwa sasa Ukraine imekuwa nchi ya kawaida tu.
Swali: Unataka wazee wa kazi wafanye nini cha zaidi ya hapo.
Mission accomplished
Hayo sasa ni yako. Mimi nimeeleza kwa mujibu wa elimu ya CUBAUmesahau Ushoga, Unazi na ISIS pia vulikuwa unatengenezewa huko Ukraine, Mtume wenu Putin kuna wakati alisema imebidi uvamizi kupambana na Satanism [emoji16]
Mimi nimeeleza kwa mujibu wa Mtume Putin, sijwahi kupata ya elimu ya Cuba.Hayo sasa ni yako. Mimi nimeeleza kwa mujibu wa elimu ya CUBA