Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Watu wa Moshi huwa wanajikuta wamestaarabika na wameelimika, ila wana matukio ambayo hayana tofauti na wale jamaa wa Geita.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hapo mtu unajiuliza serikali ipo kwa maslahi ya nani!?Huko kuna Mbunge na viongozi wengine?
Moshi na Arusha ndizo ngome za kanisa katoliki.mtaani kwetu ilishawahi kutokea kesi kama hiyo, jamaa alikuwa kwenye 25 huko, akawa analawitiwa mara nyingi tu na watu, kaka yake alikuwa anampenda sana si unajua una dogo unayetaka kumfundisha maisha awe kijana bora, kumbe hujui, siku akaja kusikia huo uzushi, akafuatilia akamnyaka mchana kwenye chumba cha jamaa. alimpiga vibao ila akawa anatafuta sababu awafanye nini wale majamaa waliokuwa wanamlawiti, akamlazimisha kufungua kesi polisi, ilienda mahakamani lakini lijamaa likaonekana bwabwa linaeleza kuwa lenyewe huwa linaenda kwao mara kwa mara na wao wanamlala, mtu wa 25 amelawitiwa leo, keshokutwa anaenda tena kwenye vyumba vyao hao mabachela, jamaa alitufuata wanasheria tumpe ushauri atoe adhabu gani kwa hao wahalifu, tuliishia kumwambia aisee kama bado unampenda dogo wako, achana na hiyo kesi, na yeye anaenda kufungwa kwa kuruhusu kulawitiwa.
Moshi na Arusha kuna ulawiti sana, sababu ya kufuata mambo ya magharibi, na pia mabange na madawa ya kulevya, mateja wengi wakilewa madawa huwa wanalawitiwa ivyo wanajikuta wamekuwa mabwabwa kiutani utani tu hivi. ndugu zangu wachaga sijui shida ni nini au tuseme maish aya kisasa ya kula mavyakula ya kisasa miaka hii imefanya watu wame na mambo ya kike, au mapombe? nini shida? na si ukute hapo wameshachukua mpunga mrefu wa mtaji wamemwambia dogo kesi iishe tu hii, atatoka hapo ataendelea kulawitiwa na wale wanaolawiti watatafuta kijana mwingine wamharibu kwasababu wamezoea huo uchafu wakati Mungu kaumba wanawake kibao tu wenye maumbile ya kike kwa shughuli hiyo.
Majina ya watuhumiwa waliokamatwa kwa ubakaji ni Abdalla Uwesu, Omary Mohammed na ambao jeshi la polisi linaendelea kuwatafuta ni Haji Ali , Mfaume Ramadhan na John ShirimaMoshi na Arusha ndizo ngome za kanisa katoliki.
Hayo mambo wanayapenda sana na papa hana shida nayo.
Huyo aliyefanyiwa anaitwa nani.Halafu angalia masafa wanapoishi kutoka kanisani na kama kuna msikiti karibu yao.Majina ya watuhumiwa waliokamatwa kwa ubakaji ni Abdalla Uwesu, Omary Mohammed na ambao jeshi la polisi linaendelea kuwatafuta ni Haji Ali , Mfaume Ramadhan na John Shirima
Mchaga ni m1 hapo, kutokana majina husika.Majina ya watuhumiwa waliokamatwa kwa ubakaji ni Abdalla Uwesu, Omary Mohammed na ambao jeshi la polisi linaendelea kuwatafuta ni Haji Ali , Mfaume Ramadhan na John Shirima
Tu assume anaitwa George alafu umeambiwa ni mgonjwa wa afya ya akili kwahiyo kwa Imani Yako hiyo ni Sunna sio?Huyo aliyefanyiwa anaitwa nani.Halafu angalia masafa wanapoishi kutoka kanisani na kama kuna msikiti karibu yao.
Sijajua kuhusu wengine wengi niliowaona Mimi ni wale walevi kipindukia na Wachache wamefanyiwa ukatiliKwani Gays wanaofanywa kwa hiyari ni matahira? Au walinyanyaswa utotoni? Ndo maana mnashindwa kutatua tatizo hili.
Kwa 7bu hamjui nn mfanye.