Moshi: Kijana aliyelawitiwa na Wanaume Watano, wazazi Wasema hawawezi kumudu gharama za nauli ya kufuatilia kesi

Kuna mambo ukiyasikia mpaka unajiuliza kwanini Mungu anaendelea kuyaruhusu haya? Hao wa Sodoma na Gomora walifikia kiwango gani cha ujinga huu mpaka Mungu akaamua kuwatia kiberiti?🤔
 
Kwaio skuhizi mmeacha kutafuta pesa mmehamia kwenye ushoga?
 
Moshi na Arusha ndizo ngome za kanisa katoliki.
Hayo mambo wanayapenda sana na papa hana shida nayo.
 
Majina ya watuhumiwa waliokamatwa kwa ubakaji ni Abdalla Uwesu, Omary Mohammed na ambao jeshi la polisi linaendelea kuwatafuta ni Haji Ali , Mfaume Ramadhan na John Shirima
 
Huyo aliyefanyiwa anaitwa nani.Halafu angalia masafa wanapoishi kutoka kanisani na kama kuna msikiti karibu yao.
 
Mchaga ni m1 hapo, kutokana majina husika.
 
Huyo aliyefanyiwa anaitwa nani.Halafu angalia masafa wanapoishi kutoka kanisani na kama kuna msikiti karibu yao.
Tu assume anaitwa George alafu umeambiwa ni mgonjwa wa afya ya akili kwahiyo kwa Imani Yako hiyo ni Sunna sio?
 
Kwani Gays wanaofanywa kwa hiyari ni matahira? Au walinyanyaswa utotoni? Ndo maana mnashindwa kutatua tatizo hili.
Kwa 7bu hamjui nn mfanye.
Sijajua kuhusu wengine wengi niliowaona Mimi ni wale walevi kipindukia na Wachache wamefanyiwa ukatili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…