Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
😂😂😂😂ukitaka kunyanyuka unaangushiwa kitu kizito kichwani
Huyo Mbowe ndiye aliyewafundisha kufanya tabia za kihalifu na kihuni, lazima apate haki yake ili iwe fundisho kwa vibaraka wake wote aliowatumia katika vitendo vya kihalifu.This is too much, wamwachie mbowe may be ni laana,
Kama serial curl haihusiki Basi hii ni ishara ya laana na kukataliwaSoko la matunda na mbogamboga Mbuyuni lililopo wilayani moshi mkoani Kilimanjaro likiteketea kwa moto.
Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea na bado chanzo cha moto hakijafahamika.
View attachment 2103541View attachment 2103542
Kabisa.Huu utawala wa CJ (Chui Jike) umeambatana na mjanga, mauaji na mikosi ya kila aina. Ajitafakari!