Moshi: Moto wateketeza Soko la Mbuyuni

Moshi: Moto wateketeza Soko la Mbuyuni

Soko la matunda na mbogamboga Mbuyuni lililopo wilayani moshi mkoani Kilimanjaro likiteketea kwa moto.

Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea na bado chanzo cha moto hakijafahamika.
View attachment 2103541View attachment 2103542

4D734F4F-6C40-4494-A9AF-1397889C44D3.jpeg


D6874516-7B0D-4A5C-A52B-5705DD749ECC.jpeg


4DD29378-DC14-4737-889F-30237FA885C0.jpeg
 
Huu utawala wa CJ (Chui Jike) umeambatana na mjanga, mauaji na mikosi ya kila aina. Ajitafakari!
Kumbe nae kipenzi chenu nae anaua? Jpm wetu alisemwa kila baya mara kaua mara nini, ahaaaaa aaaa.
Hii awamu hakuna rangi mtaacha kuona, watu wa maisha ya chini hawatakiwi mjini ndo njia ya kuwaondoa matariji waweke magorofa, kila mwezi lazima liungue soko hata moja.

Tutawaletea report kuwa ni sigara za mateja ahaaaaaa kwani zamani mateja hawakuwepo?
 
CCM they're monster, they're like Hitler. At least Hitler cared about Germany or something.

Pole kwa wote mliofikwa na majanga😔
 
Wakimalizana na masoko yanayochafua miji yetu naomba waziangalie nyumba za nyasi na mbavu za mbwa mijini na vijijini maana nazo zinachafua mji na hazijapangiliwa vizuri.
 
Msicho kijua n kuwa serikali hii haiwapendi machinga na wafanya biashara wadogo

Wanataka kila kitu wauze wao sisi tuwe wanunuzi tu

Fikiria ukilima wao wanaongeza Bei za pembejeo

Ukivuna wao wanashusha Bei ya mazao huku wakiongeza Bei ya mafuta na usafirishaji

Lengo lao sijui nn Hawa watu

Haiwezekani ndan ya miez miwil masoko Zaid ya 3 yameungua huku serikal ikija na sababu za kibwege kabisa

Hiv nauli ya kwenda burundi n Bei gani vile

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom