peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Soko la matunda na mbogamboga Mbuyuni lililopo wilayani moshi mkoani Kilimanjaro likiteketea kwa moto.
Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea na bado chanzo cha moto hakijafahamika.
View attachment 2103541View attachment 2103542
Kumbe nae kipenzi chenu nae anaua? Jpm wetu alisemwa kila baya mara kaua mara nini, ahaaaaa aaaa.Huu utawala wa CJ (Chui Jike) umeambatana na mjanga, mauaji na mikosi ya kila aina. Ajitafakari!
Mungu ndie atakaye jibu. Kama ni mkono wa mtu au tukio la kawaida. AmenSoko la matunda na mbogamboga Mbuyuni lililopo wilayani moshi mkoani Kilimanjaro likiteketea kwa moto.
Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea na bado chanzo cha moto hakijafahamika.
View attachment 2103541View attachment 2103542
Hayo ni maneno ya kujifariji tu. Mitaji ya watu imeenda na hakuna atakae walipa. Report yoyote itakayotolewa haitakuwa na maana yoyote kwa waliopoteza mali zao.Mungu ndie atakaye jibu. Kama nimkono wa mtu au tukio lakawaida. Amen
Soko la matunda na mbogamboga Mbuyuni lililopo wilayani moshi mkoani Kilimanjaro likiteketea kwa moto.
Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea na bado chanzo cha moto hakijafahamika.
View attachment 2103541View attachment 2103542
Madawa ya kulevya si walisha yamaliza??"Mateja waliwasha mshumaa"
Report za tume za matukio ya masoko ya awali zinakua ni report za kuchonga ndiyo maana hazisaidii kuzuiya matukio mapya yanayoendelea kujitokeza kila siku.
Gaidi anaachiwaje?This is too much, wamwachie mbowe may be ni laana,
Tumchunguze huyu jamaa kama yuko MoshiSijawahi kusikia soko limeungua Moshi.
Bora siko liungue kuliko Soko! Soko ni mkombozi wa kuimarisha vipato vya watu wengi.siko la mkoa fulani limeungua
Hiyo shehena ya karibu Tani mbili iliyokuja na kimbunga JOBO unajua iliishia wapi?Madawa ya kulevya si walisha yamaliza??
Hao mateja wanatoka wap?