Moshi: Moto wateketeza Soko la Mbuyuni

Huyo Mbowe ndiye aliyewafundisha kufanya tabia za kihalifu na kihuni, lazima apate haki yake ili iwe fundisho kwa vibaraka wake wote aliowatumia katika vitendo vya kihalifu.
Jambazi sugu lililokomaa na kufikia kuwa Gaidi.
Yaani watu kama wewe mlio na maana ingine kabisa ya definition ya haki mtafanya hiki kizazi kikumbukwe sana kwa upumbavu uzembe na umbumbumbu
 
"Mateja waliwasha mshumaa"

Report za tume za matukio ya moto ya masoko ya awali zinakuwa ni report za kuchonga ndiyo maana hazisaidii kuzuiya matukio mapya yanayoendelea kujitokeza kila siku.
Tusubirie tume iundwe kuchunguza chanzo Cha moto.[emoji849]
 
Gaidi lipo jela na bado nchi haitawaliki, angekuwa na akili timamu angejiuzulu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…