Killa Cam
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,264
- 6,679
Mwanafunzi amekataa kudeki mwalimu ampige kisa mwanafunzi amekataa kudeki?.Hata Mwalimu hakuajiriwa kudeki wala ToRs zake hakuna kudeki
after all hizo kazi za usafi zinafanywa na wanafunzi kwa hizi shule zetu za kidumu na ufagio tuliosoma huko hilo sio jambo geni.
Kama mwanafunzi alichapwa hakujeruhiwa wala hapakuwa na athari yoyote kiafya basi Mama achukue mwanae akamfundishie nyumbani maana huyo sio wa kwanza kuchapwa, tumechapwa sana tu huwezi kugomea mwalimu kisa umepewa kazi ya kudeki
Mama wa mtoto ajiulize yeye angemtuma mwanae adeki na mwanae akatae yeye kama Mama angefanya nini?
Kwanini asichague mwengine adeki tusiwe wepesi kutetea walimu haohao ndio wanao wabaka watoto kwa kutumia njia kama hizo za udhalilishaji. Sijaunga mkono mzazi kumpiga mwalimu napinga mwalimu kumpiga mwanafunzi kwa kukataa kudeki.