Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

Wazazi wa kileo unaweza kumuokoa mtoto anaekufa maji mtoni. Halafu mzazi wa mtoto akakwambia wewe ndiye uliyemtupia mtoni mwanae.
Sahihi

Walimu wanaofundisha mikoa hasa ya pwani ikiwemo Dar na Zanzibar mashahidi wazazi hopeless na watoto wao

Mwalimu ukijali hayo unakuwa adui wa mzazi na mtoto .Mzazi anakuja juu kwani ulimzaa wewe nyoko wewe mwalimu

Wazazi wa maeneo hayo hopeless kabisa

Walimu wa maeneo hayo walishaacha kuhangaika na mitoto yao ikitaka kusoma sawa isipotaka basi hawajali sababu Wazazi na watoto wao wote wajeuri kwa walimu

Wanafundisha bora liende Waelewe sawa wasipoelewa to hell with them and their parents wandike notice darasani wasiandike haiwahusu wanawaacha wakaandike notice madrasa za aya za kuruani ambako hulazimishwa kuandika aya za juzuu za kuruani kwa viboko na mzazi hufurahi ntoto akichapwa madrasa kwa kutokariri aya za juzuu za kuruani na kutoandika na yuko tayari kumpa viboko Mwalimu wa Madrasa vya ziada kama atakuwa mvivu kunukuu aya za kuruani kwenye daftari kuanzia kukariri hadi kuandika

Akishindwa mzazi wa kiislamu yuko tayari kutoa Ushirikiano wa juu kwa Mwalimu wa madrasa ikiwewemo kumtandika viboko vingine vya ziada kwa kushindwa kuhifadhi kurani na kuandika
 
Hii habari ni ya upande mmoja wa mwalimu mzazi hatujasikia. Lkn kwa kutumia akili ya kawaida ni ngumu mzazi kwenda kufanya fujo shuleni eti kisa mwanae kaadhibiwa fimbo Moja tu. Upande wa mwl wamedanganya, hapo huyo mtoto itakuwa alichakazwa kwa mafimbo yasiyokuwa na mpangilio.

Pili-inamaana huyo mtoto mpaka anafika darasa la 5 hakuwahi kuadhibiwa isipokuwa hiyo fimbo Moja ya huyo mwl
Basi akamtafutie shule ambayo mtoto wake atapewa kazi ya usafi wala kupigwa sio kugeuka.
 
Ndio maana nashangaa huu ujinga wa wapi ?
Kama huyo mzazi aliona ni kosa ,angeenda polisi kushtaki , huu upuuzi sana
Hao waalimu wenzake maduwanzi sana ,wangemyoosha huyo pimbi
Mtu kama mimi nikija mtaweza kunidhibitu kweli au mtaongeza tu idadi ya marehemu na walemavu nchini[emoji16]
 
Huko mbele tunakoenda mtadeki tu, zile zama za kuigeuza watoto misukule zimeisha. Walimu mmezi embu angalia majukumu ya mtoto:
Muuza maandazi, visheti, mihogo, kupikia walimu chai, kwenda kufanya usafi na kupika majumbani mwa walimu, kufua, kulima, kufagia, kubeba maji, kubeba begi lenye uzito wa kilo 10 za daftari, visoda, kiporo, fagio na kidumu cha maji. Yaani unakuta mtoto mdogo amekomaa kama mchoma mkaa.
umesahau kulima mashamba ya walimu
 
Shule si iajiri wafanya usafi.
Serikali iajiri wafanya usafi au shule kamili shule iweke zabuni makampuni yaweke wafanya usafi. Simple tuu.
Robert Heriel Mtibeli hua nafuatilia maudhui yako lkn kea
Mwanafunzi kudeki shule kwani yeye analipwa na serikali hizi kazi za kudeki walimu ndio wafanye wao.
You reason like a goat. Hata naona kinyàa kusema na MTU Kama wewe, you must be having a very low iq.
Unajua kuwa walimu wakiajiriwa wsnapewa mkataba inaonyesha wanachotakiwa kwenda kufanya. Usiwe unaropoka ropoka Kama vile unavaa chupi ya shangazi yako.
 
Kama kichapo tulipata sisi, tulitembezewa fimbo mpaka migongoni, miguuni mpaka vichwani, fimbo ziliacha alama kwa damu kuganda lakini hatukwenda kusema walimu kwa wazazi. Mara uchapwe kwa kuchelewa, huna maji, huna ufagio, hujachana, hujafua, upigaji kelele darasani, ukaguzi wa kuvaa chupi, huna chupi unakula viboko. Adhabu zilikuwa nyingi mpaka kulima nyasi kwa kutumia vidole, kukoseshwa vipindi siku nzima unafukua visiki shuleni. Mnataka kutuambia nini enyi wazazi delecate?
 
Robert Heriel Mtibeli hua nafuatilia maudhui yako lkn kea
You reason like a goat. Hata naona kinyàa kusema na MTU Kama wewe, you must be having a very low iq.
Unajua kuwa walimu wakiajiriwa wsnapewa mkataba inaonyesha wanachotakiwa kwenda kufanya. Usiwe unaropoka ropoka Kama vile unavaa chupi ya shangazi yako.
Nipe ya mama yako
 
Mwanafunzi kudeki shule kwani yeye analipwa na serikali hizi kazi za kudeki walimu ndio wafanye wao.
Serikali ilitakiwa iajiri watu wa kufanya usafiri wa majengo, na mazingira nje, kama njia ya kupanua wigo wa ajira kwa WaTz. Watoto kama ni kujifunza hayo majukumu iwe ni kama kipindi cha somo tu, na sio maisha yao yote hilo liwe jukumu lao, huku Serikali ikibweteka kuwahudumia wanasiasa tu.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Mimi kama nimesoma shule zisizokuwa na viboko na bado discipline ilikuwa ya hali ya juu basi siwezi kuvumilia mtoto wangu kuchapwa kama punda. Nitakuja kuwachoma visu vya paja nyie walimu To yeye Hannah Mpwayungu Village Evelyn Salt
Ukimleta shule viboko anavyo, hutaki achapwe kaa nae nyumbani umfundishe, box la chaki buku mbili tu red pen mia mbili...

Huyu mzazi angekutana na mimi angechakaa😁 nawe ukija ntakuchakaza vilevile
 
Na kwa kuongezea, sisi watu wenye makomwe hatupendagi sana kufanya usafi sijui kudeki.

Kama vipi shule iajiri watu wawe wanafanya usafi shuleni, mbona vyuo vikuu kuna watu wameajiriwa wanafagia madarasa!

Lakini huko mashuleni unakuta vitoto vidogo vinalima shamba la mwalimu eti!

Siku komwe langu likichachamaa nitatimba hapo shuleni nawatandika bakora walimu wote, piga kelbu mwalimu mkuu, vunja viuno wote! ALAAAAH!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi wafanye lakini isiwe kupita kiasi.
Mtoto lazima ajue kazi,,,kutokufanya kabisa kutapelekea kizazi kingine cha ajabu..hasa wasichana.
Kuna mabinti chuo tumesoma nao..hata kudeki room hostel hajui,achilia mbali kufua nguo zake na kuchota maji kisimani.
Anakwambia hata kupika pia hajui.


Mtoto ajue kazi ila asitumie muda mwingi kuzifanya maana itakula muda wake wa masomo.
Njia pekee ni kumpunguzia baadhi ya kazi.
 
Back
Top Bottom