Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba

Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
Ukitaka kuona maendeleo yao ingia migombani.Umesema sawa lakini wakazi wake ni watu wenye maendeleo makubwa kuliko wewe uliyeandika hii mada ambapo kwenu kujenga tu choo cha ndani mnaona ni kinyaa unakuta nyumba nzuri kachoo ni ka magunia nje.Ukitaka kuona umasikini wa watu na IQ ndogo angalia choo wanachotumia.
 
Sawa mlima mahindi ya kuchoma
 
Ungeeleza eneo gani pale mjini kati lina mahindi jombaa...
Kwanza Halmashauri za miji tu haziruhusu mazao marefu mjini...

Hayo mahindi ndani ya Moshi mjini umeyaona maeneo gani?
Umewahi kufika moshi ama unasema tu weye maendeo ya karanga moshi tech hakuna mahindi ya bisi pale
 
Usafi sio kigezo manispaa gani inamashamba kilometa moja toka stand aisee ndani ya mashamba watu wanapika mbege na uzinzi unaendelea
Kibaka akikupora anakimbilia huko mashambani mtu anamiliki eneo heka mbili anajenga kanyumba kadogo kwingine analima mahindi ya bisi
 

Moshi ni mji wa kibabu hauna maendeleo yoyote, acha kufananisha kahama ma kijiji mkuu.
 
Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba

Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
Bila shaka utakuwa umezunguka manispaa zote Tanzania na nchi zingine mpaka ukafikia hilo hitimisho
 
Tatizo lilianza ulipopata nafasi ya kusafiri ukalinganisha Manispaa ya Moshi dhidi ya Jiji la Arusha kwakuwa zimekaribiana!!
 
Kama dar, Mwanza Wanataka kuona magorofa ya vitega uchumi yaki chipua na Maduka makubwa kama ya Mliman city
All is about choice, utengeneze mbanano au utengeneze jiji la watu kujiachia it's very simple case!
 

kobazi mvaa vipedo Nyie geita simiyu kahama bado mnakunya nje na kuchambia mavi ya n’gombe. Acheni uchawi wa kufuga fisi na kubaka n’gombe washamba wa ch*t* kwanza huko hakuna kitu zaidi ya ushamba
 
Nimewahi kufika Moshi mara kadhaa, na ukweli wangu ni huu.
1. Ndio mji pekee hapa Tanzania niliowahi kuona watu wakichota maji bombani na kuyanywa moja kwa moja bila hata kuchemcha na mamlaka za maji na afya zinatoa muongozo huo kwa uhakika wa 100% kuwa maji ya moshi ni safi na salama. (Kwangu mimi hii ni ishara ya Usafi na ustaarabu wa kutunza mazingira).

2. Ni mji mdogo sana lakini uliojipanga vizuri kwa kiasi. Hakuna watu wengi sana na hakuna purukushani nyingi za kibiashara. Kiujumla ni mji wa kimaendeleo kuanzia mifumo ya maji safi na maji taka, barabara, hospitali, shule,vyuo nk.

3. Ni mji msafi na salama zaidi huenda kuliko mji wowote hapa Tanzania. Kwa sehemu kubwa nyakati za usiku huwezi kukutana na giza, maana kuna taa nyingi za barabarani, taa kutokea kwenye nyumba za watu binafsi na taasisi. Kuna hadi CCTV camera zimefungwa maeneo ya katikati ya mji. Uwepo wa chuo cha polisi (Police Academy) huenda kumezaa tabia za watu wake kujari mambo ya usalama.

4. Ni mji wenye joto kali nyakati fulani fulani kupita hata joto la Dar, kuwepo karibu na mlima Kilimanjaro hakujapunguza joto kabisa. Labda ni matokeo ya uharibifu wa mazingira kuzunguka mlima Kilimanjaro.

5. Moshi ina stendi ndogo ya kizamani ya mabasi ya mikoani. Ni stendi ya kishamba mnoo. Ni stendi iliyopo katikati ya mji, haina ofisi za wakatisha tiketi, sehemu ya abiria kungojea usafiri imejazwa meza za wakatisha tiketi na kila biashara imeshindiliwa hapo hapo stendi. Na ikifika saa nne usiku inafungwa! Ni miongoni mwa stendi mbovu zaidi za mabasi ya mikoani (labda inaizidi stendi ya Arusha na Manyara (Babati) maana nazo ni stendi za ovyo ovyo mnoo)
 
"stendi ya kishamba" sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…