Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba

Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
Katik majitu majinga we no.moja
 
Duu
 
Kahama??hivi unajua maana ya maendeleo wewe?
 
Katik majitu majinga we no.moja

Hoja hujibiwa kwa hoja,,na sio kumwambia k2kana

Yani kwa akili yako ya haraka haraka unaamini moshi inastahili kupewa hadhi ya jiji!!😁😁😁 Kama ni hivyo na mkoa wa (Shinyanga + kahama)na (Geita+Chato) ziitwe nini mzehe!!!!
 
Wahi Milembe uanze matibabu mapema!

Ni ushauri tu.
 
Wasukuma ni watu wazuri, japo co wote. So, tofauti kubwa sana na wachagga ambao wengi wao ni makatili na wabinafsi.

(Mchagga+Mjaluo+Mkurya) wanatakiwa waishi mji mmoja maana tabia zao zinaendana japo sio wote.
[emoji16][emoji16]
 
Binafsi sijawahi kufika Kahama wala Geita.. Ila Moshi nimefika.

Kwa faida ya wengi, tuanze kuweka picha za mji wa Kahama na Geita na wa Moshi waweke zao ili tuanze kuilinganisha hii miji.

Nasubiri wana moshi waje kukubishia 😁

Mji wa kahama una

1 Barick gold mining
2 Bulyanhulu Gold mining
3 kiwanda kikubwa cha maji kipo njiani kufunguliwa
4 kiwanda cha bati
5 vituo vya mafuta vingi na vya kisasa
6 BANK OF AFRIKA
7 DTB
8 NBC
9 CRDB
10 TPB
11 NMB
12 Elution
13 N.K

Watuwekee na MOSHI, wana nini cha kujivunia!!!
Naanza👇🏽
1 Watengenezaji wa Pombe aina ya Mbege
2.???
 
Naomba niwekee picha mbili tatu za Kahama nisafishe macho
 
Ngoja niwaongezee.

2. Kiwanda cha Serengeti Breweries
3. Kiwanda cha Soda Bonite Bottlers
4. Kiwanda cha Sukari TPC
5. Kiwanda cha Maji ya Kilimanjaro
6. Imara Woods Product (Kiwanda cha bidhaa za Mbao?
7. Kiwanda cha Ngozi (Moshi Leather Industries Ltd?
8. Kiwanda cha Viatu Karanga (Kiwanda cha Jeshi la Magereza)
9. Hospitali ya KCMC
10. Chuo kikuu cha KCMC
11. Chuo cha Ushirika
12. Chuo cha Mwenge
13. Chuo cha Mchungaji Stefano
14. NMB
15. CRDB
16. NBC
17. Uchumi Commercial Bank
18. Kilimanjaro Cooperative Bank
19. Exim Bank
20. Mkombozi Bank
21. KCB Bank
22. Equity Bank
23. Stanbik Bank
24. Access Bank
25. TPB
26. DTB
27. Absa
28. I&M Bank
29.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…