Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

Watu hata hawajui mashrti na vigezo vinavyotakiwa BUKOBA DU WATA NGOJA SANA
 
Binafsi sijawahi kufika Kahama wala Geita.. Ila Moshi nimefika.

Kwa faida ya wengi, tuanze kuweka picha za mji wa Kahama na Geita na wa Moshi waweke zao ili tuanze kuilinganisha hii miji.
Uchaggani Hakuna miji.

Kilichopo ni kila mtu kujitutumua kujenga nyumba kwenye Kihamba chake hata Kama Kiko Porini huko au milimani.
 
Mpango ulipo HV sas Ni kuunganisha miji hi miwili Moshi na Arusha kuwa jij moja Kama ilivyo kazkasn mwa jiji la london ambako Kuna West Ham , arsenal ,totenum, na Chelsea ..yote Hyo inapatikana London [emoji3][emoji3]
 
Please ongeza Chuo cha Mweka (Chuo pekee cha wanyamapori Tanzania nzima)
 
Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba

Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
Kwa heading tu ya uzi ulistaili kupigwa Ban.
Halafu jifunze kuacha ujinga.
 
Tuone picha please
 
Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba

Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
Una hasira, hazitasaidia..
 
Ila life style yao ni ya kizungu sana,africa mashariki hakuna hamna mambo ya kufatanafatana kama ulaya vile.

Hata ukimkuta massawe anaiba we endelea na hamsini zako,.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…