Moshi: Yanayojiri katika Kongamano la BAWACHA Siku ya Wanawake Duniani Machi 3, 2023; Rais Samia mgeni rasmi

Kajinyonge basi sheitwaan wewe usiye itakia Tanzania amani.
 
Naona makanjanja yanaenda kujizika rasmi 2025 yatakuja na sera gani sijui .. chama kili jifia 2015 uko saivi ni kutfta pa kulia tu
 
Safi sana Samia!

Si machadema wala ccm wote wimbo ni mmoja tu!
.
2025 unamuangusha mtu kama unamuangusha mlevi vile!
 
Naona makanjanja yanaenda kujizika rasmi 2025 yatakuja na sera gani sijui .. chama kili jifia 2015 uko saivi ni kutfta pa kulia tu
Makanjanja ni babako na mamako
 
Kuna wimbo unapigwa hapo ukumbini ni ujinga mtupu hata alieuweka sijui ninani !! Mfike Mahali mjitambue ... Wimbo unasema ccm inauwa watu !! Is it make sense?
Kajinyonge basi tujue umekasilika
 
Nawapongeza Chadema kwa walichofanya
 
Huyu mama anaesoma risala anatetemeka nini? Au ndio Sauti yake ilivyo?
 
Ila TUKIO hili lingefanywa na chama Cha CUF au TLP bavicha wote ungesikia wakitukana na kusema, hao ni matawi ya CCM wamekutanaa, ila kwakuwa ni chadema, Leo hii PONGEZI ni nyingi
 
Cdm ni tunu ya taifa
Walichofanya leo, watu hawatakielewa ila Chadema inatengeneza mazingira mazuri ili katiba iweze patikana.

Saa zingine inabidi ujinyenyekeze ili upate unachokitaka, watu hawataelewa ila ipo siku wataelewa.

Samia pia si mjinga kukubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…