Moshi: Yanayojiri katika Kongamano la BAWACHA Siku ya Wanawake Duniani Machi 3, 2023; Rais Samia mgeni rasmi

Moshi: Yanayojiri katika Kongamano la BAWACHA Siku ya Wanawake Duniani Machi 3, 2023; Rais Samia mgeni rasmi

Tatizo nyie wanasiasa mnatuona sisi wananchi kuwa wajinga Sana. Ccm hawezi kufanya kitu kisichomnufaisha. Sisi tunajua ikifika kipindi Cha uchaguzi CCM huvaa joho lake, hayo mnayoita maridhiano msije kuyakataa 2025.

Yaani unasikiliza hotuba ya kiongozi wa UPINZANI halafu Haina tofauti na hotuba ya mwanaccm. Huo Ni uto to..

Mkiambiwa mmelewa Asali mnakuwa wakali..
Kajinyonge basi sheitwaan wewe usiye itakia Tanzania amani.
 
Naona makanjanja yanaenda kujizika rasmi 2025 yatakuja na sera gani sijui .. chama kili jifia 2015 uko saivi ni kutfta pa kulia tu
 
Roho inakuuma sana, haya yote ni mipango ya Mungu kwani Mungu wetu ni Mungu wa amani na ndio maana nchi ina amani.

Aliyempa Mama Samia kuwa Rais ni Mungu pekee na sio mwanadamu na ndio maana mafirauni na wasiopenda amani huwa wanashangazwa sana na yale anayoyafanya Mh. Rais.

Niseme, kipindi cha giza kilishapita
Safi sana Samia!

Si machadema wala ccm wote wimbo ni mmoja tu!
.
2025 unamuangusha mtu kama unamuangusha mlevi vile!
 
Kuna wimbo unapigwa hapo ukumbini ni ujinga mtupu hata alieuweka sijui ninani !! Mfike Mahali mjitambue ... Wimbo unasema ccm inauwa watu !! Is it make sense?
Kajinyonge basi tujue umekasilika
 
Huyu mama anaesoma risala anatetemeka nini? Au ndio Sauti yake ilivyo?
 
Angekuwepo shwetaani wa afrika, ukumbi wangejazwa FFU wakiwa na mabom, mbwa, bunduki na washawasha.

lakn leo mama anaenda na kalamu na notibuku ili kuchukua changamoto za watanzania wenzake ambao ni wanachama wa chadema na anazitatua.

maRPC na OCDs watapeana mikono na makamanda wenzao wa heshima wa chadema badala ya kuwachota tanganyika jeki na kuwasukuma ndani.

MAMA TUNAOMBA MAOFISA WOTE WALIOKUWA WANATUMIWA NA SHETANI WA AFRIKA UWAKAMATE NA KUWASWEKA LUPANGO.
Ila TUKIO hili lingefanywa na chama Cha CUF au TLP bavicha wote ungesikia wakitukana na kusema, hao ni matawi ya CCM wamekutanaa, ila kwakuwa ni chadema, Leo hii PONGEZI ni nyingi
 
Cdm ni tunu ya taifa
Walichofanya leo, watu hawatakielewa ila Chadema inatengeneza mazingira mazuri ili katiba iweze patikana.

Saa zingine inabidi ujinyenyekeze ili upate unachokitaka, watu hawataelewa ila ipo siku wataelewa.

Samia pia si mjinga kukubali
 
Back
Top Bottom