Tetesi: MOSSAD wa Israel wanatumia aliens?

zitto junior
 
walidukua WHATSAPP yake kwa msaada ya META ambao ni wayahudi, alipowasha simu yake tu wakawa wanaona signal kabisa, ndio maana drone ilienda kupiga palepale alipokuwa, drone ilifuata simu yake mkononi, vyumba vingine havikupigwa. wavaa kobaz hata hao huthi, wanajifanya wanapigana na myahudi wakati kila kitu wanachokitumia kina mkono wa myahudi, labda wasiwe wanaingia mtandaoni,w atafute mtandao wa kwao au labda watumie mitandao ya kirussia.
 
Kwahio hako kadroni kupiga ndio wamepanda hadhi kutoka mgambo wa jiji?
drone imepiga, na iran hawajui ilipiga ikitokea wapi. kama ilitokea israel au ilitokea palepale, hawajui. ila walidukua whatsapp ya gaidi haniyeh wakati anatumia mtandao huo wa makafiri wenzake wakawa wanamuona, drone ikalenga signal ya kwenye simu yake, muda wote walikuwa wanamchora tu.
 
Wakachujue na mateka kwa kutumia allies
 
Naunga mkono na miguu hoja
 
Mkuu hivi huo mstari wa mwisho una maana gani?
 
Hawatumii alien, wamekuwa wazuri kutokana na ku gain experience katika miaka yote waliyokua wakioigana, the utilize ile knowledge na kuwa study majirani, culture zao. So they know in and out
 
Ukisoma Biblia utajua nani anayewawezesha, kuna Mungu aliye hai. Hata Nabii Eliya na wale waabudu miungu wengine mungu wao alishindwa kushuka kula sadaka akiogopa Mungu wa kweli
 
Kwani Osama alijulikanaje alipo exactly 100% kisha kuvamiwa na kuuawa?

Siyo Alliens wala nini, ni kazi ya intelligency hiyo mwana wane.
 
Kilichomuua huyo gaidi ni hiki, ndio utakapokuja kujua kwamba Quran na akili za kukaa darani havichangani.

🇮🇱🇵🇸Israeli intelligence tracked Hamas leader Ismail Haniyeh via WhatsApp

According to Lebanese journalist Elia Manier, Israeli intelligence installed spyware on Haniyeh's phone via a WhatsApp message.

The spyware made it possible to detect the exact location of the house where the Hamas leader was located and launch a missile strike on it from a drone.
 
ili la whatsap fix tu.
Iran whatsap haifanyi kazi.
 
Kwahio hako kadroni kupiga ndio wamepanda hadhi kutoka mgambo wa jiji?
Hawa MOSSAD na IDF wao wakiamua kumtafuta mbu aliyefyonza damu yako usiku lazima watampata mkuu. Sembuse binadamu. Hao watu ni hatari sana. Iran wanajing'atang'ata tu kwa Yahudi kumvua dera mbele za walimwengu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…