Tetesi: MOSSAD wa Israel wanatumia aliens?

Ila alikuwa tajiri Sana alikuwa na karibu dola billion 4, hata jay z hajamfikia alikuwa anakula bata daily

Hivi vita kuna watu wanafaidika sana
 
Syria is a failed state controlled by Iran and Russia. Ila myahudi anaingia na kutoka kama chooni vile
Failed state mbona walishindwa kuichukua sasa? Sababu wanajua mrusi yupo so wakivuka mstari watachakazwa. So sio kweli yeye ndio mbabe wa middle east kma ni coward hivyo.
 
Asingekua mbabe angemalizwa mapema sana.
 
Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,
Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao,
Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh,

Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje kuwa watu wakubwa hivi Wanaolindwa na ulinzi mkali sana.
MOSSAD wanaelezwa kuwa huenda WANATUMIA matumizi ya viumbe vikali vya Allen's kwenye mishe zao kwani sio Hali ya kawaida sana kwa matukio wanayoyafanya,

MOSSAD wanadaiwq kuwa hivi Sasa ndio kikundi hatari Cha kijasusi duniani.

Je ni kweli MOSSAD WANATUMIA ALLENS?
Hizo ni chai,naamini alliens wapo ila siamini kama washaanza kukutana na wanadamu.
 
Eti allens, hujioni ulivyo mjinga?
 
Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,
Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao,
Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh,

Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje kuwa watu wakubwa hivi Wanaolindwa na ulinzi mkali sana.
MOSSAD wanaelezwa kuwa huenda WANATUMIA matumizi ya viumbe vikali vya Allen's kwenye mishe zao kwani sio Hali ya kawaida sana kwa matukio wanayoyafanya,

MOSSAD wanadaiwq kuwa hivi Sasa ndio kikundi hatari Cha kijasusi duniani.

Je ni kweli MOSSAD WANATUMIA ALLENS?
Tulia wanakuja mdogo Mdogo. Mpaka mpaka shume muishe
 
Epuka story za vijiweni, story za kahawa.
Ubora wao umetokana na vitu vingi, experience, elimu, na washirika wake. Ukiongezea miaka ambayo wamekuwa in conflict na majirani, imewafanya wawe bora, na wanajua wasipokuwa bora watafutika

Hakuna cha allien
 
Kama walivyotumika katika ujenzi wa pyramids za Misri. Ndio waliowafanya Wayahudi kuwa na akili kuliko binadamu wote.
 
Hii ni misconception, MOSSAD inatumia ushawishi wa kipesa zaidi kuinfiltrate ngome mbalimbali kuliko so called intelligence. Kwahiyo ukiona mtu kauwawa ujue kuna inside job imefanyika kwa pesa nyingi kuhongwa.

So hakuna cha alliens hapo, watu pekee ambao najua walihusishwa na aliens ni US the so called Area 48, sijui project MK-Ultra walipotumia excorsionists na dark arts kufanikisha mission zao.
Utakuwa mgeni na intelligence, sehemu moja wapo ni kutumia pesa kupata taarifa. Kila intelligence organization dunian inatumia hii mbinu, na ni moja ya mbinu za zamani sana but very effective hata leo
Lakin israel wanatumia zaidi ya pesa, huwez honga maadui wote
 
Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,
Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao,
Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh,

Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje kuwa watu wakubwa hivi Wanaolindwa na ulinzi mkali sana.
MOSSAD wanaelezwa kuwa huenda WANATUMIA matumizi ya viumbe vikali vya Allen's kwenye mishe zao kwani sio Hali ya kawaida sana kwa matukio wanayoyafanya,

MOSSAD wanadaiwq kuwa hivi Sasa ndio kikundi hatari Cha kijasusi duniani.

Je ni kweli MOSSAD WANATUMIA ALLENS?
😂😂😂😂😂

Hawa Aliens walikuwa likizo october saba?-----ni tetesi hii
😂😂😂😂😂

Aisee hii dunia yetu.
 
Utakuwa mgeni na intelligence, sehemu moja wapo ni kutumia pesa kupata taarifa. Kila intelligence organization dunian inatumia hii mbinu, na ni moja ya mbinu za zamani sana but very effective hata leo
Lakin israel wanatumia zaidi ya pesa, huwez honga maadui wote
Pesa na intelligence zipo bega kwa bega
 
Back
Top Bottom