Tetesi: MOSSAD wa Israel wanatumia aliens?

Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,
Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao,
Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh,

Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje kuwa watu wakubwa hivi Wanaolindwa na ulinzi mkali sana.
MOSSAD wanaelezwa kuwa huenda WANATUMIA matumizi ya viumbe vikali vya Allen's kwenye mishe zao kwani sio Hali ya kawaida sana kwa matukio wanayoyafanya,

MOSSAD wanadaiwq kuwa hivi Sasa ndio kikundi hatari Cha kijasusi duniani.

Je ni kweli MOSSAD WANATUMIA ALLENS?
Not Allens. Ni Aliens.
 
😂😂😂😂😂

Hawa Aliens walikuwa likizo october saba?-----ni tetesi hii
😂😂😂😂😂

Aisee hii dunia yetu.
Wewe unaona oktoba 7 ni idea nzuri mkuu? Maana netanyahu kawatoa kafara mateka wenyewe
 
Hayo umesrma wewe 😌

The joke is on Aliens.

Tetesi ni kwamba walikuwa Likizo siku hiyo🙌🏾

Hayo mengine ya Us vs Them....simo kijana.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Pesa ni moja ya silaha ya kupata taarifa. Hata kwenye bibilia ilitumiaka kwa mazingira hayo
maisha yakibana na ukaletewa ofa ya kibunda na garantii ya protection ni rahisi kuwauza wenzako, hii mimi nimeona kwenye hizi movies na nimekubaliana na hiyo theory
 
iSREAL bila ya MAREKANI, UK NA UNO, Hata JKT wanawapiga
Umeongea kinyume...bila Mossad, hao uk na us na wengine wao ndio wako hatarini.

Kwakifupi mossad anafanya kaz nzito ya kuzuia hao magaid wasifike hata europe na america.

Kwa taarifa yako jews ndio wame occupy inner circles za hizo millitary na intelligence organs za hayo mataifa, wao ndio providers na inventors wa technologies zoooooote huko unakokujua wewe, so usifikir US anawasaidia bali ni wao ndio wanajisaidia.

Huon misaada ya US kwa ukraine inajadiliwa na kuoigwa na senate lakin Netanyahu anaingia kwenye congress US na anawapiga bit kuwa anawatandika waaribu.
Hakuna mahala msaada wa kijeshi kwenye Israel unajadliwa wala kupingwa.

We huogopi??
 
Tegemea shura ya maimamu walinazi wa JF kukubishia kwa nguvu zote hiki ulichoandika.
 
Tanzania ni moja ya Nchi iliyojaa watu wajinga wanjinga kama wewe
 
Tegemea shura ya maimamu walinazi wa JF kukubishia kwa nguvu zote hiki ulichoandika.
KItu ambacho wengi wao hawa wanajitoa ufaham na kupuuzia ni ile fact kwamba, populatiin ya Jews dunian ni about less than 16million lakin imagine about 50% ya jews woote ulimwenguni wako US, about 50% ndio Israel na the + or - ya hapo ndio wako mataifa mengine.
Sasa wenye akil watajua hii maana yake ni nini!.
 
Umeongea kinyume...bila Mossad, hao uk na us na wengine wao ndio wako hatarini.

Kwakifupi mossad anafanya kaz nzito ya kuzuia hao magaid wasifike hata europe na america.

Kwa taarifa yako jews ndio wame occupy inner circles za hizo millitary na intelligence organs za hayo mataifa, wao ndio providers na inventors wa technologies zoooooote huko unakokujua wewe, so usifikir US anawasaidia bali ni wao ndio wanajisaidia.

Huon misaada ya US kwa ukraine inajadiliwa na kuoigwa na senate lakin Netanyahu anaingia kwenye congress US na anawapiga bit kuwa anawatandika waaribu.
Hakuna mahala msaada wa kijeshi kwenye Israel unajadliwa wala kupingwa.

We huogopi??
Uko sahihi sana!
 
iSREAL bila ya MAREKANI, UK NA UNO, Hata JKT wanawapiga
JKT hii hii ya Masau Bwire?

You must be kidding.... Panda ndege ukatalii Entebbe Airport Uganda baada ya kusoma kitabu cha 90 minutes at Entebbe
 
Wewe unaona oktoba 7 ni idea nzuri mkuu? Maana netanyahu kawatoa kafara mateka wenyewe
Mkuu Ile October 7 mossad walikuwa wanajua Lile tukio ila wakanyamaza waliplan something
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Utakuwa mgeni na intelligence, sehemu moja wapo ni kutumia pesa kupata taarifa. Kila intelligence organization dunian inatumia hii mbinu, na ni moja ya mbinu za zamani sana but very effective hata leo
Lakin israel wanatumia zaidi ya pesa, huwez honga maadui wote
Nimekua mtafifi wa inteligensia sana hata humu kuna threads nyingi mnoo nmechambua mambo baadhi. Hao Mossad wanatumia bajeti kubwa kwenye "kuhonga" kuliko ku-risk assets wake.

Hata mauaji ya Top nuclear scientist huko Iran wote waliokamatwa ni wairan sababu ndio walipelekwa frontline kupitia ufadhili wa Mossad.

Hata issue ya pagers unaona kesi inamuangukia informant anayeishi uholanzi ambaye alikua informant wa Mossad. Ukitaka kuamini hilo angalia walivyoshindwa kujua mateka wa hamas wako wapi wakati kanchi ni kama kigamboni tu. Hiyo intelijensia yao iko wapi?

Pesa ina nguvu sana kuconvert adui kuwa ally.
 
JKT hii hii ya Masau Bwire?

You must be kidding.... Panda ndege ukatalii Entebbe Airport Uganda baada ya kusoma kitabu cha 90 minutes at Entebbe
Mistake ilikua kuwaachia baadhi ya mateka na ndio waliwachorea ramani hao Sayeret Matkal. Otherwise ingekua failure kama ile Munich incident.
 
Kama walivyotumika katika ujenzi wa pyramids za Misri. Ndio waliowafanya Wayahudi kuwa na akili kuliko binadamu wote.
Acha utoto pyramids zipo mpaka huko Azteca mexico kuna wayahudi? Wenye IQ kubwa duniani hata Koreans, China na Singapore wanawazidi Israel kwa mbali sana. Kama wana akili mbona waliteketezwa na Hitler?
 
Mistake ilikua kuwaachia baadhi ya mateka na ndio waliwachorea ramani hao Sayeret Matkal. Otherwise ingekua failure kama ile Munich incident.
Kwa uelewa wako ni sahihi. Unadhani ni kwanini JPM aligoma Ikulu ya Chamwino kujengwa na makampuni ya kigeni?

Entebbe imejengwa na Mayahudi ramani yote wanayo. Hiyo JKT yako hata kama ingekutana na hao mateka walioachiwa isingethubutu kutia mguu pale.

Kwani Rais wa Iran, Haniye na Nasrallah na wengine wengi kuna mateka wametoa taarifa zao ndipo wakauliwa
 
Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,
Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao,
Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh,

Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje kuwa watu wakubwa hivi Wanaolindwa na ulinzi mkali sana.
MOSSAD wanaelezwa kuwa huenda WANATUMIA matumizi ya viumbe vikali vya Allen's kwenye mishe zao kwani sio Hali ya kawaida sana kwa matukio wanayoyafanya,

MOSSAD wanadaiwq kuwa hivi Sasa ndio kikundi hatari Cha kijasusi duniani.

Je ni kweli MOSSAD WANATUMIA ALLENS?
WANASAIDIWA NA MAREKANI TU ISRAEL HAWANA LOLOTE BILA MAREKANI WANGEKUWA WAMEKWISHA HAO
 
Hii nipumba hao Hezbollah wanasaidiwa na Iran pia, nahao Iran wanasaidiwa na Russia na China pia north Korea ila bado hamna kitu ndo ujue mzayuni nimtu mwingine
 
Back
Top Bottom