Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Kwanini Ndugu zetu Waislam nao wasiungane kupitia ARAB LEAGUE na kumteketeza Muisrael?iSREAL bila ya MAREKANI, UK NA UNO, Hata JKT wanawapiga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini Ndugu zetu Waislam nao wasiungane kupitia ARAB LEAGUE na kumteketeza Muisrael?iSREAL bila ya MAREKANI, UK NA UNO, Hata JKT wanawapiga
Katika Uislamu, kufa katika jihad (juhudi au jitihada kwa ajili ya Allah) kunachukuliwa kuwa na malipo makubwa katika Akhera (maisha ya baada ya kifo). Katika Quran, Allah anazungumzia kwa uzito na ahadi kubwa kwa wale wanaopigana katika njia Yake.Miongoni mwa aya zinazozungumzia kuhusu faida ya kufa katika jihad ni:Surat At-Tawba 9:111:Kwanini Ndugu zetu Waislam nao wasiungane kupitia ARAB LEAGUE na kumteketeza Muisrael?
Kwanini Waarabu nao wasiungane kupitia ARAB LEAGUE na kuwaua hawa Makafiri?WANASAIDIWA NA MAREKANI TU ISRAEL HAWANA LOLOTE BILA MAREKANI WANGEKUWA WAMEKWISHA HAO
Ni sahihi kabisa, ila Waislam wote ni Ndugu, na wana kuunganishi yaani Arab League, kwanini wasiunganishe nguvu, akili na maarifa kwa huyu Israel na Nduguze?Katika Uislamu, kufa katika jihad (juhudi au jitihada kwa ajili ya Allah) kunachukuliwa kuwa na malipo makubwa katika Akhera (maisha ya baada ya kifo). Katika Quran, Allah anazungumzia kwa uzito na ahadi kubwa kwa wale wanaopigana katika njia Yake.Miongoni mwa aya zinazozungumzia kuhusu faida ya kufa katika jihad ni:Surat At-Tawba 9:111:
"Hakika Mwenyezi Mungu amenunua kwa Waumini nafsi zao na mali zao kwa kuwa wao watapata Pepo. Wanapigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu, wanaua na wanauawa. Hii ni ahadi ya kweli katika Taurati, Injili na Qur’ani. Na nani atimizaye agano kuliko Mwenyezi Mungu? Basi furahini kwa biashara yenu mliyo fanya naye. Na huko ndiko kufuzu kukubwa."Surat Ali Imran 3:169:
"Wala usidhani walio uawa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa wamekufa, bali wao wako hai, wanaruzukiwa kwa Mola wao."Hizi aya zinaonyesha kuwa wale wanaokufa wakiwa katika jihad kwa ajili ya Allah wanapata malipo makubwa, ikiwa ni pamoja na Pepo na riziki kutoka kwa Allah. Pia wanachukuliwa kuwa wamefuzu na kupokea ahadi kubwa kutoka kwa Allah kwa sababu ya kujitolea kwao.
Malaria ni hatari sana kwa afya ya ubongo.iSREAL bila ya MAREKANI, UK NA UNO, Hata JKT wanawapiga
Katika Uislamu, mtu anayekufa akipigania haki yake anachukuliwa kuwa ni shahidi (martyr). Mtume Muhammad (SAW) alitaja aina mbalimbali za mashahidi, na miongoni mwao ni wale wanaokufa wakitetea haki zao.Katika hadithi iliyopokelewa na Sahih Muslim, Mtume Muhammad (SAW) amesema:"Yeyote yule anayekufa akitetea mali yake ni shahidi, anayekufa akitetea maisha yake ni shahidi, anayekufa akitetea imani yake ni shahidi, na anayekufa akitetea familia yake ni shahidi." — (Sahih Muslim, Hadith 141)Malaria ni hatari sana kwa afya ya ubongo.
Dini imewaharibu ubongo hadi wanajizima data. Waambie kuwa hata Antony Blinken US secretary of state ni JewUmeongea kinyume...bila Mossad, hao uk na us na wengine wao ndio wako hatarini.
Kwakifupi mossad anafanya kaz nzito ya kuzuia hao magaid wasifike hata europe na america.
Kwa taarifa yako jews ndio wame occupy inner circles za hizo millitary na intelligence organs za hayo mataifa, wao ndio providers na inventors wa technologies zoooooote huko unakokujua wewe, so usifikir US anawasaidia bali ni wao ndio wanajisaidia.
Huon misaada ya US kwa ukraine inajadiliwa na kuoigwa na senate lakin Netanyahu anaingia kwenye congress US na anawapiga bit kuwa anawatandika waaribu.
Hakuna mahala msaada wa kijeshi kwenye Israel unajadliwa wala kupingwa.
We huogopi??
AChana nao, they have got no talent to comprehend thatDini imewaharibu ubongo hadi wanajizima data. Waambie kuwa hata Antony Blinken US secretary of state ni Jew
Daaaa😅😅😅😅 ivi uliwaza nini kutoa hii commentiSREAL bila ya MAREKANI, UK NA UNO, Hata JKT wanawapiga