cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Sio kila arab news za kuziamini.
Kuna trusted source sio kila source ni validated source.
Hayo mambo ya bikra 72 yanaingiaje?
Turudi katika mada acha makando kando.
Ingependeza wakae kimya na watulie.Ulitegemea waseme nini mkuu.....! Hata ungekuwa wewe.....
Hicho kibibi kinawaponda wamagharibi kikiwaita makafiri halafu simu na taarifa za Hezbollah kinapata kupitia vifaa vilivyotengenezwa na hao makafiri.
Ujinga uzeeni hauna dawa.
Unaambiwa walimtrack Kwa miezi miiingi sana.Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.
Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.
Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.
Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....
Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.
Nitalileta humu ndani mkuu nipe muda nikusanye na taarifa upya mkuu.I'm interested na trusted source, hebu tupe hata links tu......utakuwa umesaidiea wengi!
Kuja tena kujipanga itawachukua muda na wakati huo wanajipanga haijulikani Mzayuni atakuwa amejichanganya ndani yao kwa kiasi gani na kiteknolojia atakuwa amefikia hatua gani.Unajua mkuu humu tunajadili mantiki sio mihemko na ushabiki.
Haya mambo yanaenda kwa mantiki kaka.
Kumuua kiongozi wa juu kabisa mwenye ulinzi mkali hutafsiri mambo mengi sana.
Hapa Hizbollah wamepata pigo kubwa ambalo litawazimisha huwenda kwa muda mrefu saaanaaaa.
Una raia wengi takriban laki nane asili ya uyahudi unategemea nini!?Mkuu kwa mara hii nimekubali mossad wana intelligence kubwa. Mimi siku zote naunga mkono Iran, Hezbollah, Hamas katika kuitetea palestina.
Ila toka hawa jamaa wapige tukio ndani ya Iran wakamuua kamanda wa hamas, wakalipua zile pagers, now wamemuua kiongozi wa Hezbollah, nimeamini hawa jamaa wamejipenyeza ndani kabisa. Nahisi wanamsubiri Iran ajichanganye naye wapige ndani kabisa ya Iran.
Hezbollah anapaswa kurudi kwenye hatua ya kwanza huenda anaokaa nao mezani ni ma-double agent.
Hili ni pigo kubwa sana.Kuja tena kujipanga itawachukua muda na wakati huo wanajipanga haijulikani Mzayuni atakuwa amejichanganya ndani yao kwa kiasi gani na kiteknolojia atakuwa amefikia hatua gani.
Hata huko Hamas hapako salama Yahya Sinwar atakuwa amepoza sana kwa sasa.
Huyo bibi anawaponda wayahudi na waamerica halafu yeye kasomea Canada na kaishi huko muda mrefu.Imani hizi ππ
Unajua Imani NI kama Madawa h kulevya unaweza kujiona Bill gates kumbe Maskini WA kutupa
Unajua we jamaa umeongea trivial point aisee!?Huyo bibi anawaponda wayahudi na waamerica halafu yeye kasomea Canada na kaishi huko muda mrefu.
Nikamuuliza swali kwanini asingeenda kusoma Somalia au Palestina , hana majibu zaidi ya kusema "allah ndio anamchagulia mtu pa kuishi".
Very naive old woman.
Wapi kawaita makafiri?Hicho kibibi kinawaponda wamagharibi kikiwaita makafiri halafu simu na taarifa za Hezbollah kinapata kupitia vifaa vilivyotengenezwa na hao makafiri.
Ujinga uzeeni hauna dawa.
Achana naye kiazi mbatata huyo.Wapi kawaita makafiri?
Magufuli alipowaita mbona haijakuwa noma kiasi hiki ,au ni uchungu wa bandari kupewa muarabu sio dini yako? π π π
Hilo neno kafiri linawauma sana ..... π π π π wana chuki kinoma yaani .Achana naye kiazi mbatata huyo.
Hezbollah wametamka hivyo..Mkuu acha utani!?
Hizbollah ametangaza vita!??
πππππππMimi sisapoti ndiki ngumu hiyo uwanja umeinama.
Tazama TV series hizi mbili, Tehran na Fauda uone namna Wayahudi walivyojipenyeza huko Iran, Palestina na Lebanon...
Unajua wasunn hawataki washia wanavyokuwa na nguvu kwenye maeneo yao hiyo ndio maana usaliti umekuwa mkubwa.Kabisa mkuu, wajipange.
Lakini naona waliomuuza Nasrallah ni Lebanese wenyewe haswa upande wa serikali ya Lebanon.
Kuna watu wametumika ku track movement za Nasrallah.
Wewe ni timu ile ile mimi huwa sina muda siku hizi kufanya majadiliano na watu wa aina yenu .Wapi kawaita makafiri?
Magufuli alipowaita mbona haijakuwa noma kiasi hiki ,au ni uchungu wa bandari kupewa muarabu sio dini yako? π π π
Ndio alie fadhili mauwaji ya 7 Oct 2023. Israel wamempimia kwa Rais wakala kichwa kumjulisha wameshajuwa kile walikipanga na vile walifadhili ule ugaidi. Kiufupi Pia Ayatollah wanakihitaji kichwa chake na wamedhamiria wanataka kifo chake kiwe cha kuonekana dunia nzima iwaogope wanataka sio tu kumu eliminate but seems wanataka baada ya kumalizana naye wanaivuruga Iran yaani isisimame tena. USA anajuwa yote haya na ana taarifa zote hizi ila sasa kila kitu kinafanyika kwa umakini mkubwa sana hasa ukizingatia Russian wanaipa support Iran hasa kwenye maswala ya kiusalama sasa basi vita ya Ukraine ipo kwenye shingo kwa mrusi hivyo lazima kuna mahali Putin lazima aiuze iran ili kupata kitu kwa Israel trust me. Kiufupi Iran wapo uchi maana Mossad wamesha juwa kila siri za Iran kupitia majasusi wao ndani ya idara nyeti za Urusi usiniulize kivipi.Mkuu Kosugi, nini kitafuata unafikiri......Iran haitaki kabisa vita, haiwezi kufanya lolote.....Umesikia hotuba ya Ayatollah lakini? Kaloa na baada ya hotuba kapelekwa mafichoni....