Kwako wewe ndio utaona trivial maana ni timu moja na ajuza.Unajua we jamaa umeongea trivial point aisee!?
Wapo watanzania wamesoma Ukraine , Hungary , Romania na kadhalika.Unawez kwenda kusoma na kuishi Ukraine!?
Hujaelewa context ya nilichoandika hivyo ungeuliza.Yani unataja mataifa ambayo yana vita na masikini!?
Hayo ni machaguo yako mimi nimeuliza Somalia na Palestina.Angalau ungemtajia Brunei, Indonesia na Malaysia ningekuelewa.